Tanzania kupeleka magari yanayotembea juu ya waya arusha (ngorongoro)

Tanzania kupeleka magari yanayotembea juu ya waya arusha (ngorongoro)

Wewe ni moja ya wakenya wanaojua kiswahili sanifu na safii

Hongera kwa hilo ,kujifunza kiswahili toka Tanzania
Shukran jombaa ila ulivyoitaja Tanzania yenu ndio umetia ukakasi. Ntakausha tu, nawaelewa waswahili mnavopenda kiki ndombolo. 😀
 
Back
Top Bottom