pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,350 Jul 13, 2018 #21 baro said: Wewe ni moja ya wakenya wanaojua kiswahili sanifu na safii Hongera kwa hilo ,kujifunza kiswahili toka Tanzania Click to expand... Shukran jombaa ila ulivyoitaja Tanzania yenu ndio umetia ukakasi. Ntakausha tu, nawaelewa waswahili mnavopenda kiki ndombolo. 😀
baro said: Wewe ni moja ya wakenya wanaojua kiswahili sanifu na safii Hongera kwa hilo ,kujifunza kiswahili toka Tanzania Click to expand... Shukran jombaa ila ulivyoitaja Tanzania yenu ndio umetia ukakasi. Ntakausha tu, nawaelewa waswahili mnavopenda kiki ndombolo. 😀
pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,350 Jul 13, 2018 #22 MOTOCHINI said: Kuna tofauti hapo Hii ni Ngorongoro Click to expand... Mombasa ni mji sio kijiji.