afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
Kenya na wao wanawachezaji 80 lakini bado hawana hata medal moja .Proudly Kenyan..........oooops..I mean Tanzanian
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya na wao wanawachezaji 80 lakini bado hawana hata medal moja .Proudly Kenyan..........oooops..I mean Tanzanian
huenda wakabahatisha hata moja angalau wana asilimia chache za matumainiKenya na wao wanawachezaji 80 lakini bado hawana hata medal moja .
Riadhaa bado . Ndio mahali Kenya wanaosomba medal.huenda wakabahatisha hata moja angalau wana asilimia chache za matumaini
maradhoni hazijaanza...By the way..80 kwa saba,It ain't even closeKenya na wao wanawachezaji 80 lakini bado hawana hata medal moja .
Mama yangu wee, tayari washatengeneza kiwanda...nchi ya viwanda hiiVIONGOZI 14
😀😀😀 nouma sana mkuuMama yangu wee, tayari washatengeneza kiwanda...nchi ya viwanda hii
ndio hivyo mkuu msafara wa mamba kenge nao wapoSis n wasindikizaaj tuu...