Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Oky Cute ladysio muhimu sana gentleman 🐒
Whose good is good? As long as it is good for them to cling to power, then all is Good for the country!Oky Cute l
Sure, but this is not good for the nation
Lini Tanzania iliwakilisha maombi ya kujitoa common wealth?Kwa kiburi cha Samia na machawa wake wanaweza wastekeleze sharti hata moja la CMAG ili tu wawekewe vikwazo na ikibidi kufurushwa totally completely.
Ikumbukwe kuwa Tanzania na Uganda miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakiwasilisha maombi ya kujitoa ndani ya Jumuiya ya Madola.
Kwahiyo kama italazimika wafikie hatua hiyo, kwa hawa watawala wa TZ itakuwa ni sawa na kumpiga chura teke though madhara yake ni makubwa kuliko mafikirio yao.
Commonwealth fukuza vibakasio muhimu sana gentleman 🐒
Gentleman,Commonwealth fukuza vibaka
As long as anya measure will not kick them out of power, watahimili lolote lile ambalo ni maneno na siyo ACTIONS.Kwa kiburi cha Samia na machawa wake wanaweza wastekeleze sharti hata moja la CMAG ili tu wawekewe vikwazo na ikibidi kufurushwa totally completely.
Ikumbukwe kuwa Tanzania na Uganda miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakiwasilisha maombi ya kujitoa ndani ya Jumuiya ya Madola.
Kwahiyo kama italazimika wafikie hatua hiyo, kwa hawa watawala wa TZ itakuwa ni sawa na kumpiga chura teke though madhara yake ni makubwa kuliko mafikirio yao.
Hiii pressure ni kubwa, ata Samia mwenyewe anajionea,sidhani kama ana Raha ya uraisi sahvAs long as anya measure will not kick them out of power, watahimili lolote lile ambalo ni maneno na siyo ACTIONS.
Ukiwatishia kichapo, then they will heed to your demands maana hawana uwezo wa kupigana
Acha kiwakeMkuu umefanya analysis ndogo sana ambazo hazimgusi mtanganyika Moja kwa Moja,
Analysis kubwa na zitakazo chochea chuki kwa raia wa Tanganyika ni:-
1. Kiuchumi na Maendeleo
- Kupoteza misaada na miradi ya maendeleo: Jumuiya ya Madola hufadhili miradi ya miundombinu, elimu, afya na utawala bora. Kufukuzwa kungeondoa msaada huu.
- Kupungua uwekezaji wa kigeni: Wanachama wa Jumuiya ya Madola mara nyingi hupata kipaumbele katika uwekezaji na biashara baina ya nchi wanachama.
- Kupoteza nafasi za biashara: Tanzania ingeathirika katika upatikanaji wa masoko ya bidhaa na huduma kwa nchi wanachama.
2. Kisiasa na Kidiplomasia
- Kupoteza jukwaa la ushawishi wa kidiplomasia: Jumuiya ya Madola ni moja ya majukwaa makubwa ya kimataifa ambapo Tanzania huwasilisha maslahi yake.
- Kudhoofika taswira ya kimataifa: Kufukuzwa kungeashiria kukosa kuzingatia demokrasia, haki za binadamu na utawala bora, jambo litakalopunguza heshima ya Tanzania kimataifa
Hapa ndo napapenda mimi
Madam president yupo busy kutafuta waarabu wenzie ndio wawe maswahiba wa tanzaniaMO29 ilikuwa game changer kwenye siasa za nchi hii. Sioni Tanzania ikitulia tena na kuwa na uchaguzi wa amani kama hakutokuwa na reforms za uchaguzi.
Baada ya kilichotokea kwenye MO29, Common wealth wametoa masharti ambayo yana time frame, moja kubwa ni Lissu kuachiwa within 30 days. Kwa kiburi Cha Samia najua atakaaa. Kitendo Cha Tanzania kukataa masharti ya Common wealth automatic watafurushwa kwenye jumuiya ya madola.
Tanzania ikitimuliwa kwenye jumuiya ya madola itapoteza Scholarship nyingi mno ambazo 90% ya waliokuwa wanazifaidi ni watoto wa vigogo wa CCM.
Wafatao wamesoma Kwa scholarship za common wealth.
Ndalichako
Mtoto wa Wasirra
Mtoto wa Mahita
Mtoto wa Pinda
Bashungwa
Mtoto wa Malecela
Raisi Mwinyi n.k
Hao ni baadhi tu, Common wealth,fukuza Hawa vibaka, watoto wao wasome Iran,Oman na Russia.
Mto wa mbu
Illinois state
Ni suala la muda tu... Litajitokeze kundi la kutetea maslahi ya Tanganyika.Kwa kiburi cha Samia na machawa wake wanaweza wastekeleze sharti hata moja la CMAG ili tu wawekewe vikwazo na ikibidi kufurushwa totally completely.
Ikumbukwe kuwa Tanzania na Uganda miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakiwasilisha maombi ya kujitoa ndani ya Jumuiya ya Madola.
Kwahiyo kama italazimika wafikie hatua hiyo, kwa hawa watawala wa TZ itakuwa ni sawa na kumpiga chura teke though madhara yake ni makubwa kuliko mafikirio yao.
Hawa chiz wanachojali ni mshahara na viinua mgongo vyao tuNAhisi watatekeleza maagizo ya jumuiya make watawala hawawezi kukubali tutenge na zaidi ya nchi 50 kwa mkupuo