NAhisi watatekeleza maagizo ya jumuiya make watawala hawawezi kukubali tutenge na zaidi ya nchi 50 kwa mkupuo
This applies not only to the Commonwealth only but also EU and US.Gentleman,
there are more opportunities and scholarships for higher education outside the Commonwealth despite the misconception that scholarships will be restricted in the Commonwealth.![]()
relax,This applies not only to the Commonwealth only but also EU and US.
You can go to Russia to learn how to manufacture kamikaze drones courtesy of Vladimir Putin.
Common wealth watafukuza vibaka woteEee kuna mchongo naufuatilia hapo UK, wasubiri kidogo 😂
Kila mtu arudi kwaoCommon wealth watafukuza vibaka wote
Na mbado. Hatujaimba nyimbo zote. Subiri.MO29 ilikuwa game changer kwenye siasa za nchi hii. Sioni Tanzania ikitulia tena na kuwa na uchaguzi wa amani kama hakutokuwa na reforms za uchaguzi.
Baada ya kilichotokea kwenye MO29, Common wealth wametoa masharti ambayo yana time frame, moja kubwa ni Lissu kuachiwa within 30 days. Kwa kiburi Cha Samia najua atakaaa. Kitendo Cha Tanzania kukataa masharti ya Common wealth automatic watafurushwa kwenye jumuiya ya madola.
Tanzania ikitimuliwa kwenye jumuiya ya madola itapoteza Scholarship nyingi mno ambazo 90% ya waliokuwa wanazifaidi ni watoto wa vigogo wa CCM.
Wafatao wamesoma Kwa scholarship za common wealth.
Ndalichako
Mtoto wa Wasirra
Mtoto wa Mahita
Mtoto wa Pinda
Bashungwa
Mtoto wa Malecela
Raisi Mwinyi n.k
Hao ni baadhi tu, Common wealth,fukuza Hawa vibaka, watoto wao wasome Iran,Oman na Russia.
Mto wa mbu
Illinois state
Hao WEHU/WAHUNI hawajali chochote ,hata tukinyimwa misaada na dunia nzima ,dawa yao ni kwamba US aje kuwanyakua tu kama MADURO.MO29 ilikuwa game changer kwenye siasa za nchi hii. Sioni Tanzania ikitulia tena na kuwa na uchaguzi wa amani kama hakutokuwa na reforms za uchaguzi.
Baada ya kilichotokea kwenye MO29, Common wealth wametoa masharti ambayo yana time frame, moja kubwa ni Lissu kuachiwa within 30 days. Kwa kiburi Cha Samia najua atakaaa. Kitendo Cha Tanzania kukataa masharti ya Common wealth automatic watafurushwa kwenye jumuiya ya madola.
Tanzania ikitimuliwa kwenye jumuiya ya madola itapoteza Scholarship nyingi mno ambazo 90% ya waliokuwa wanazifaidi ni watoto wa vigogo wa CCM.
Wafatao wamesoma Kwa scholarship za common wealth.
Ndalichako
Mtoto wa Wasirra
Mtoto wa Mahita
Mtoto wa Pinda
Bashungwa
Mtoto wa Malecela
Raisi Mwinyi n.k
Hao ni baadhi tu, Common wealth,fukuza Hawa vibaka, watoto wao wasome Iran,Oman na Russia.
Mto wa mbu
Illinois state
DuhMO29 ilikuwa game changer kwenye siasa za nchi hii. Sioni Tanzania ikitulia tena na kuwa na uchaguzi wa amani kama hakutokuwa na reforms za uchaguzi.
Baada ya kilichotokea kwenye MO29, Common wealth wametoa masharti ambayo yana time frame, moja kubwa ni Lissu kuachiwa within 30 days. Kwa kiburi Cha Samia najua atakaaa. Kitendo Cha Tanzania kukataa masharti ya Common wealth automatic watafurushwa kwenye jumuiya ya madola.
Tanzania ikitimuliwa kwenye jumuiya ya madola itapoteza Scholarship nyingi mno ambazo 90% ya waliokuwa wanazifaidi ni watoto wa vigogo wa CCM.
Wafatao wamesoma Kwa scholarship za common wealth.
Ndalichako
Mtoto wa Wasirra
Mtoto wa Mahita
Mtoto wa Pinda
Bashungwa
Mtoto wa Malecela
Raisi Mwinyi n.k
Hao ni baadhi tu, Common wealth,fukuza Hawa vibaka, watoto wao wasome Iran,Oman na Russia.
Mto wa mbu
Illinois state
Chukuwachakomapema na Samuya wametuharibia nchi kabisa kabisa kabisa 😢😢😢😢MO29 ilikuwa game changer kwenye siasa za nchi hii. Sioni Tanzania ikitulia tena na kuwa na uchaguzi wa amani kama hakutokuwa na reforms za uchaguzi.