Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Gharama yake ni kiasi gani?Tanzania kurusha chombo Angani kwa mara ya kwanza
π€£π€£ ulijua chombo yako inarushwanimejiuliza sana chombo gani tena? Kumbe Satellite. Muwe mnaandika heading kamili. Shubamit π
π€£π€£π€£π€£πππππππππ kwahiyo tusibiri kwanza mkuu tupate experienceInabidi tutengeneze nguo za chuma kabisa ili likianguka tue na uhakika wa usalama angalau π©π©
Nikajua masufuria cz ni chomboπ€£π€£ ulijua chombo yako inarushwa
labda vyombo vya ndani,masufuria,vijiko nknimejiuliza sana chombo gani tena? Kumbe Satellite. Muwe mnaandika heading kamili. Shubamit π
Uzito wa taarifa upo kwenye huo mkataba...ningeshangaa kama DIT ingekua na utaalam huo kwa kujitegemea yenyewe.View attachment 3405760
Tanzania, kupitia Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satelaiti yake angani, ifikapo mwaka 2026.
Chombo hicho, kitakuwa cha kwanza kurushwa angani na nchi hiyo, baada ya kuongezeka kwa ujuzi, ubunifu na teknolojia.
Chuo cha DIT kilianza mpango huo toka mwaka 2024 baada ya kuingia mkataba na Chuo Kikuu cha RUDN cha nchini Urusi.
Chanzo : RT AFRICA