Tanzania kutangaza tenda ya phase 3 muda wowote kuanzia kesho

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Wakati Jimi Wanjigi akiendelea kutrend Kenya Tanzania wanapokea bil 700 kama kama hela ya kuonesha imani ya pande mbili za Barrick na Tz gov (Wakati tunasubiria the fatter cheque).
Magufuli amesema hela hiyo ikitoka tu anaomba apewe haraka,bila shaka huu na kwa uhakika kabisa huu mzigo unaenda kutumika kama gharama za mwanzo ktk SGR phase ya 3 kutoka Dodoma kwenda Tabora.mpaka sassa 850 km down bado 381 km kufika Mwanza (Tabora Isaka -133km na Isaka Mwanza -248Km).
Watu wasipokuwa makini tutafika Uganda mapema kuliko nchi yeyote ile.
 
CC;
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Picha za kazi ikiendelea usiku phase 1 muziweke ama...white elephant?
 
Watanzania wakati mwingine ni kama washamba sasa OK tumepata ya nini kukaa na kujilinganisha na wakenya? tunakosea Sana kujilinganisha na Kenya au Rwanda sijui Uganda sisi tulitakiwa tuwe ligi moja na Nigeria Egypt Morocco na South Africa tuache ushamba kitu kidogo tu kufungua uzi wa majigambo tubadilike wa waTanzania wenzangu
 
We fata mambo yako bana
 
meanwhile
 
Huu ni utani wa jadi, ni kama simba na yanga, au msukuma na mzaramo, don't take it serious,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…