Livale
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 739
- 588
Poverty is a very broad and arbitrary termInaonekana kwa mbali unataka kuelewa somo, japo una hasira ya uzalendo kwa mbali, lakini ninaamini utaelewa tu, tuanze na moja baada ya lingine,
1)Umesema average ya mtanzania ni masikini kuliko Kenya, hii sio kweli, ili kujua unafuu wa maisha ya wananchi unaangalia vitu viwili
a)Ni asilimia ngapi ya wananchi ni unemployed
b)Asilimia ngapi ya wananchi wanaoishi below poverty line
Indicators zote mbili hizo Tanzania is above Kenya, wewe umetumia indicator gani inayoonyesha kwamba watanzania are poorer compare to Kenyans?
According to The world bank's 2005 poverty line of $1.25/day, 33% of Tanzanians and 40% of Kenyans live below it.
But the same world bank updated that line to $1.9/day last year to factor in inflation and currency fluctuations. with that mark, 70% of Tanzanians and 42% of Kenyans live in poverty according to the world bank. So Tanzanians are poorer
Tanzania Mainland Poverty Assessment: A New Picture of Growth for Tanzania Emerges
Poverty & Equity Data Portal
Kisha kwa unemployment, this is the most vague. It fails to factor all informal sectors of the economy, kama vile wale wamiliki Wa the 200 Kenyan trektas in Tanzania illegally wahesabiwa as unemployed. Au mwenye duka, kibanda, butchery, msusi mtaani. Ndio maana uchumi za Africa ni largely undervalued.
Hebu chunguza kwa undani kitu kijulikanacho kama multidimensional poverty ya Kenya na Tanzania ndio uelewe vyema wapi shida ii kubwa zaidi.
Kenya has an MPI(multidimensional poverty index) of 0.19 while Tanzania has an MPI of 0.33
The Global Multidimensional Poverty Index (MPI), 2016 - knoema.com
The Global Multidimensional Poverty Index (MPI), 2016 - knoema.com