Tanzania kutangaza tenda ya phase 3 muda wowote kuanzia kesho

Inaonekana kwa mbali unataka kuelewa somo, japo una hasira ya uzalendo kwa mbali, lakini ninaamini utaelewa tu, tuanze na moja baada ya lingine,
1)Umesema average ya mtanzania ni masikini kuliko Kenya, hii sio kweli, ili kujua unafuu wa maisha ya wananchi unaangalia vitu viwili
a)Ni asilimia ngapi ya wananchi ni unemployed
b)Asilimia ngapi ya wananchi wanaoishi below poverty line

Indicators zote mbili hizo Tanzania is above Kenya, wewe umetumia indicator gani inayoonyesha kwamba watanzania are poorer compare to Kenyans?
Poverty is a very broad and arbitrary term

According to The world bank's 2005 poverty line of $1.25/day, 33% of Tanzanians and 40% of Kenyans live below it.

But the same world bank updated that line to $1.9/day last year to factor in inflation and currency fluctuations. with that mark, 70% of Tanzanians and 42% of Kenyans live in poverty according to the world bank. So Tanzanians are poorer
Tanzania Mainland Poverty Assessment: A New Picture of Growth for Tanzania Emerges

Poverty & Equity Data Portal

Kisha kwa unemployment, this is the most vague. It fails to factor all informal sectors of the economy, kama vile wale wamiliki Wa the 200 Kenyan trektas in Tanzania illegally wahesabiwa as unemployed. Au mwenye duka, kibanda, butchery, msusi mtaani. Ndio maana uchumi za Africa ni largely undervalued.

Hebu chunguza kwa undani kitu kijulikanacho kama multidimensional poverty ya Kenya na Tanzania ndio uelewe vyema wapi shida ii kubwa zaidi.

Kenya has an MPI(multidimensional poverty index) of 0.19 while Tanzania has an MPI of 0.33
The Global Multidimensional Poverty Index (MPI), 2016 - knoema.com

Bwana wewe acha maneno mengi ya kujitetea, World bank imekueleza vizuri kabisa two types of poverty, kuna extreme poverty na the minumum requirement for physical well being(hii ndiyo inayotumika), chini ya hapo wanaita below poverty line, juu ya hapo ni above poverty line, kwa mwaka 2012 Tanzania ilikuwa ni 28% japo takwimu za 2016 hazijatoka la TBS walitoa ni 18%, Kenya in 2016 is about 40%, huna cha kupinga katika hili, data zote zinaiweka Kenya kuwa na watu wengi below poverty line than Uganda, Tanzania and Rwanda.

Kuhusu unemployment, huko ndiyo usiseme kabisa, Kenya ni 48% one among the highest in the World, hayo mengine ya multidimensional na blah blah zingine zihifadhi utazitumia siku ingine, kwa hiyo katika point yako ya kwanza ulikua wrong, from now onwards ujue kuwa Tanzanian's life is much better than Kenya, kwa kutumia vigezo hivyo, vya unemployment na population below poverty line. Ninaendelea point number 2
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kuhusu insecurity nimeihusisha na inequalities and unemployment, tatizo husomi vizuri ukaelewa unakimbilia kujibu bila kuelewa concept, nimesema watu wasio nakazi ni rahisi sana kujiingiza kwenye makundi ya uhalifu na kusababisha insecurity and political instability, na hizo nchi zote ulizotaja crime zinakua zikifanya na jobless youths kwa sababu ya economic inequality kubwa sana iliyopo South Africa, Brazil and USA, kama ilivyo Kenya
 
Sasa hata baada ya kukupea link from the World Bank showing your unemployment at 70% bado unafoka na midata ya kichwani bila kutupea chimbuko la habari

Hata baada ya kukueleza kutotiliwa maanani kwa small scale self employment katiku uchumi za siku hizi bado waleta porojo mingi za Mara sijasoma nikaelewa. Uzalendo wafanya washwindwa kuona uhalisia Wa mambo yalivyp, na kwa hivyo sina budi ila kukuacha uamini utakacho, ila fungua hizo link ujisomee na utafakari mwenyewe
 
Sasa hata baada ya kukupea link from the World Bank showing your unemployment at 70% bado unafoka na midata ya kichwani bila kutupea chimbuko la habari

Hata baada ya kukueleza kutotiliwa maanani kwa small scale self employment katiku uchumi za siku hizi bado waleta porojo mingi za Mara sijasoma nikaelewa. Uzalendo wafanya washwindwa kuona uhalisia Wa mambo yalivyp, na kwa hivyo sina budi ila kukuacha uamini utakacho, ila fungua hizo link ujisomee na utafakari mwenyewe
Tanzania Mainland Poverty Assessment: A New Picture of Growth for Tanzania Emerges

Hii link uliyonitumia imeeleza vizuri sana aina za umasikini katika paragraph 2, imezitaja kwa undani na kukuonyesha ni kwa kiasi gani Tanzania imeendelea kupunguza extreme poverty na ule umasikini wa uwezo wa kupata minimum basic needs, wewe unakataa ukweli unakimbilia kwenye $2 dollar.

Kwa taarifa yake" Simple definition of poverty is inability to gate minimum requrement for physical well being", na hizo zilizotolewa hapo katika hii link ndizo zinazotumika duniani kote, acha kujitetea kuanza kutumia za $2, ushahidi huu hapa chini ninakuletea
 
Angalia hizo taarifa za nchi zote duniani, hii taarifa imekusanya data kutoka World Bank inayohusu percentage za population below poverty line za nchi zote duniani, ni sawa na hizo hizo za kenye link ya World Bank ulizonitumia, Tanzania ni 28% na Kenya ni 43%, sasa kama unabishana na dunia nzima kwa sababu tu unaona uchungu kuzidiwa na Tanzania, mimi sina la kukusaidia, lakini the truth is, Kenyans are twice poorer than Tanzanians, according to World Bank and CIA reports
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Very many incorrect statements from you

1st, Tanzania is more equal to Kenya but the average Tanzanian is poorer than their Kenyan counterpart. Just the same way as Kenya is more equal (economically) than Colombia but the average Colombian lives a better life. Tazama miundo mbinu

2nd thing, insecurity isnt an indicator of how poor a country is. South Africa, Brazil, the USA all have much higher homicide, kidnappings and violence rates than Kenya yet all are a lot more developed. Tazama miundo mbinu

3rd thing, Discrimination. If you check racism in the USA you'll be stunned. Nyie watanzanzina Hamna ukabila lakini MNA ubaguzi Wa kidini, ambalo Kenya haina. Still doesn't show how underdeveloped a country is, Tazama miundo mbinu.

4th, poverty. There are more slums and they're mostly larger in Kenya than is in Tz, but yet there are more poor people in TZ than Kenya. Why? This is because of 2 phenomenons.

1st, urban Kenya is characterized by zoned development where kuna CBD, Industrial area, Transitional zone, High, medium and low income districts. Tz watu mara nyingi wajenga na kuishi popote tu kisingizio eti shamba ni lako, mpangilio si dhahiri. Ndiposa hamna slums kama za Kenya na vile vile Hanna estates kubwa kama za Kenya.

2nd, Kenya kuna urban poverty ilhali huko Tz in rural poverty. Ukienda vijijini Kenya, watu wengi wana nyumba nzuri, Walima Cash crops kwa hivyo kipato kizuri, lami haipo mbali kwa hivyo usafirishaji Wa nafaka mpaka viwandani si tatizo kubwa, hospitali zipo karibu wadi zote. Ukifika mjini ndipo tatizo kuu laanza. Tz nayo asilimia kubwa ya watu vijijini ni nyumba la tope linalo bomoka, lami na hospitali ni makilomita mbali, wanachopanda mara nyingi ni nafaka kama mahindi na mihogo tu ya kuwalisha, mazao ya juu yaja kuuzwa Kenya tujisagie wenyewe na viwanda zetu.

Kwa mishahara, ni Magu tu ndio amepunguza mshahara wake, Kikwete alikua alipwa zaidi ya Kenyatta kwa hivyo usijigambe na pato LA wanasiasa.
Hahaha *very many* huhuhuhu
c14a2947374fc2d176190bd375c7efd5--emoji-emoticon.jpg
 
Sasa hata baada ya kukupea link from the World Bank showing your unemployment at 70% bado unafoka na midata ya kichwani bila kutupea chimbuko la habari

Hata baada ya kukueleza kutotiliwa maanani kwa small scale self employment katiku uchumi za siku hizi bado waleta porojo mingi za Mara sijasoma nikaelewa. Uzalendo wafanya washwindwa kuona uhalisia Wa mambo yalivyp, na kwa hivyo sina budi ila kukuacha uamini utakacho, ila fungua hizo link ujisomee na utafakari mwenyewe
 
Sasa hata baada ya kukupea link from the World Bank showing your unemployment at 70% bado unafoka na midata ya kichwani bila kutupea chimbuko la habari

Hata baada ya kukueleza kutotiliwa maanani kwa small scale self employment katiku uchumi za siku hizi bado waleta porojo mingi za Mara sijasoma nikaelewa. Uzalendo wafanya washwindwa kuona uhalisia Wa mambo yalivyp, na kwa hivyo sina budi ila kukuacha uamini utakacho, ila fungua hizo link ujisomee na utafakari mwenyewe
Kenya | Data

Click kwenye hilo eneo la poverty head count ration ujionee ni data ipi inayotumika kujua population below poverty line?, usikimbie hadi somo likuingie
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Sasa hata baada ya kukupea link from the World Bank showing your unemployment at 70% bado unafoka na midata ya kichwani bila kutupea chimbuko la habari

Hata baada ya kukueleza kutotiliwa maanani kwa small scale self employment katiku uchumi za siku hizi bado waleta porojo mingi za Mara sijasoma nikaelewa. Uzalendo wafanya washwindwa kuona uhalisia Wa mambo yalivyp, na kwa hivyo sina budi ila kukuacha uamini utakacho, ila fungua hizo link ujisomee na utafakari mwenyewe
Mbona umekimbia?, ni matumaini yangu umeujua ukweli, na hilo ndilo lengo kubwa la jukwaa hili, kuelimishana na kujuzana ukweli ili tufute upotoshaji, usiache kuwajulisha na wengine juu ya ulichojifunza
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Serikali ya Kenya ndiyo ombaomba no 1 duniani tena wakenya bora mngekuwa ombaomba tu bali ni wezi tunakamata wakenya kila siku wakiiba hapa DSM au tukutumie mipicha"mm ni mwizi kutoka Kenya"
 
Tupia mwanangu[emoji3]
 
Back
Top Bottom