Tanzania kutengeneza magari, bajaji zisizohitaji dereva

mshahara tu tumeingizwa mkenge naona mnataka kupeleka chaka sasa.
 
Wanadandia treni kwa mbele. Je wamewahi kutengeneza gari inayoendeshwa na dereva?
 
Wanadandia treni kwa mbele. Je wamewahi kutengeneza gari inayoendeshwa na dereva?
Usiwavunje moyo, tafadhali! Acha na sisi tuingie kwenye Historia ya kumiliki viwanda vya magari. Hata wakisema ni magari ya kupaa angani na kuogelea baharini, kubali tu, na uwatie moyo. Huenda ikawa kweli.
 
Mkauza Bandari ???
 
Huyu mtoto Tz, kutambaa hawezi, anategemewa akimbie!! Ndoto hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…