Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Hii Awamu ni full Usanii (naweza kusema ni ya Wasanii) Tangia mambo ya Royal Tour mpaka kauli za ajabu ajabu.., utadhani unaangalia Sinema Zetu....
Tuanze kuhakikisha kwanza tunawaondoa hawa peasants na kuwa farmers kabla hatujalishana maneno ya ajabu (Hapo usishangae likatengwa fungu la kufanikisha hayo maigizo)
By the way Production ni Assembly tu..., kama kweli mna ideas sio mpaka mtengeneze nenda kawauziane huko Toyota na the like....