- Thread starter
- #21
Sasa, kama ripoti haijatoka rasmi toka UN, huoni kuwa kuna uwezekano serikali yetu itakuwa inajibu kingine na ripoti inasema vingine? Itakuwaje ripoti mbili (za serikali na UN) zitoke wakati mmoja na hiyo ya serikali iwe inajibu ripoti ya UN?
UN wameshatoa report yao na ya serikali inatolewa jtatu. ili wazi propagate pamoja na sio UN kutia uzushi.
Lakini kwa vile UN walifahamu report yao ni malicious basi waliiandika kimtegomtego ili iwe rahisi ku diverge kama wanavyo diverge .