Sasa, kama ripoti haijatoka rasmi toka UN, huoni kuwa kuna uwezekano serikali yetu itakuwa inajibu kingine na ripoti inasema vingine? Itakuwaje ripoti mbili (za serikali na UN) zitoke wakati mmoja na hiyo ya serikali iwe inajibu ripoti ya UN?
Serikali ya Tanzania haihusiki na biashara ya silaha. Wewe pia ni mmoja waliojaribu kuihusisha sana serikali na biashara ya silaha kwa Waasi. Kwanini huwezi kuwa mkweli na kujua tofauti kati ya uhalifu wa mtu mwenye asili ya nchi/taifa fulani na Serikali ya nchi fulani?
kati ya watu wote duniani mnaoweza kuwazuga mimi si mmojawapo. Hivi unajua zile ndege mbili zilizotumbukia Z. Victoria zilikuwa zimebeba nini na za nani? Nyie endeleeni na uzalendo huu wa kijinga.
kati ya watu wote duniani mnaoweza kuwazuga mimi si mmojawapo. Hivi unajua zile ndege mbili zilizotumbukia Z. Victoria zilikuwa zimebeba nini na za nani? Nyie endeleeni na uzalendo huu wa kijinga.
Acha kuzuga jamii na "hearsay" na "assumptions". Ndege ziko ndani ya ziwa, kwanini usiwaambie hao UN watume divers watoe silaha?
Tatizo lako unaangalia hizi accusations zinakusaidia vipi kisiasa na si vinginevyo.
Unaijua minofu ya samaki?
zilikuwa zimebeba minofu ya samaki
na kabla ya kubeba minofu zilikuwa zimebeba nini mabua?
na kabla ya kubeba minofu zilikuwa zimebeba nini mabua?
na kabla ya kubeba minofu zilikuwa zimebeba nini mabua?
tunasubiri jamanimajibu ya ripoti ya Tanzania UN;
Imeshakabidhiwa usalama wao ndio tunawataka waipeperushe