Karne nyingi zijazo.Katika kuitikia wito wa Tanzania ya Viwanda na kufungua Uchumi. Tanzania Sasa unaenda kuuza magari yaliyoundwa nchini (pichani)
Kama ngapi hivi, mkuu? Tanzanian Mercedes BenzKarne nyingi zijazo.
Unapiga tatu mbere unarudi nyuma sita😁, tunaenda sawasawaHuu ni ushenzi kabisa.
Tunarudi nyuma na si kwenda mbele