Tanzania kuuza magari Japan, Ulaya na Marekani

Tanzania kuuza magari Japan, Ulaya na Marekani

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Katika kuitikia wito wa Tanzania ya Viwanda na kufungua Uchumi. Tanzania Sasa unaenda kuuza magari yaliyoundwa nchini (pichani) na wasomi nguli waliosomeshwa Kwa Kodi zetu.

download (11).jpeg
1797020_IMG_20180715_131927 (3).jpg
 
Labda wapeleke Ukraine kwa msanii
Yaani imekaa kama ya jeshi
Bado rangi ya mabaka tu
 
baraza kuu la halmashauri kuu la kutunga sera ya magari liundwe. Wajumbe 50 Zanzibar wengine 50 toka Tanzania bara
 
Back
Top Bottom