Tanzania Kuwa Kitovu cha Uchakataji wa Madini Tembo

Tanzania Kuwa Kitovu cha Uchakataji wa Madini Tembo

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
IMG-20260820-WA0006.jpg


Tanzania inaingia hatua mpya katika uchimbaji na uongezaji thamani wa Madini Tembo kupitia Mradi wa Fungoni–Kigamboni na Tajiri, huku ujenzi wa kiwanda cha uchakataji ukiendelea Tanga.

Mradi huo tayari umeajiri wakazi 278 wa Kigamboni, zaidi ya asilimia 90 wakiwa Watanzania, na Serikali kupitia ubia wa Nyati Mineral Sands Limited inamiliki hisa zisizofifishwa za asilimia 16.
 
Back
Top Bottom