VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 677
Eti chuma? Nchi hatuwezi sema eti imepiga hatua kwa kusema eti tuna flyover la Ubungo na Buguruni, eti imeendelea kwa kuwa na ndege, eti na stand, wakati wananchi wake kwa asilimia 80 hawawezi mudu mlo wa siku moja.
Eti ndege wakati wananchi wake hawewezi mudu kupanda hizo ndege. Flyover ipo Dar, je inamsaidia vp mtu masikini aliyeko Sitimbi?
Watumishi miaka mitano sasa toka chuma awe chuma hakuna jipya kwenye mishahara yao maana twawasikia wakilalamika mitaani, uhuru wa kuongea na kukosoa haupo hapa inamaanisha watu wanahasira mioyoni mwao kwa kipindi cha miaka mitano then tuichague CCM tena kwa lipi na nini?
Eeh mungu tupe nguvu Watanzania tuiondoe CCM milele na milele mwaka huu!