Tetesi: Tanzania kuwa nchi ya nane kwa idadi ya watu DUNIANI

Tetesi: Tanzania kuwa nchi ya nane kwa idadi ya watu DUNIANI

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,645
Habar

Population au idadi ya watu ni suala pevu na lenye mashiko

IMG_4540.jpg

Linaipa nchi

-bargaining power kwenye soko la dunia
-fulsa ya biashara
-nguvu ya jeshi kwakua na millitary man power
-kupata talent mbalimbali
-n.k

Ifikapo mwaka 2074 tanzania tutakua nchi ya 10 kwa idadi ya watu syo AFRICA bali duniani

IMG_4545.jpg

Nigeria itakua nchi ya ni ya tatu ikiizidi USA just behind india and China
Wakati DRC ikiwa ya saba na ethiopia ya 8
Actually mwishoni mwa karne ya 21 nchi 20 zenye population kubwa zitatokea Africa

IMG_4546.jpg

Wakati hapo ifikapo 20100
Tanzania itakua nchi ya 8 kwa idadi ya watu!!...
Hope tutakua tishio duniani kiuchumi,kijeshi na kiushawishi

We unaonaje
IMG_4541.jpg

IMG_4542.jpg
 
Attachments

  • IMG_4545.jpg
    IMG_4545.jpg
    57.8 KB · Views: 5
Hapo ndio tutamuona mkoloni wakichina. Watarudi Afrika kutekeleza masharti ya mikataba yao ya sasa.

Huku waafrika tukiishia kujikita kwenye "vipaji" sijui mpira, muziki, na ujinga ujinga mwingine wa ivyo tukiwatumbuiza wakoloni wa kichina.

Wazee wa sasa wanaiuza nchi kwa mchina wakifikiri ni rafiki mwema, wanasahau urafiki wa wazazi sio urafiki wa watoto.
 
Mimi sidhani kama itakuwa sifa au hizo unazosema 'powers' bali ni majanga zaidi.

Hapana mkuu ishu siyo sifa ishu n kua in headlines duniani
Nani asiyejua china leo??? Au india??
But tanzania nchi nyingine watu hawaijui

With headlines nchi inajitangaza ,kupata wataliii na kuwa target ya uwekezaji
 
Hapo ndio tutamuona mkoloni wakichina. Watarudi Afrika kutekeleza masharti ya mikataba yao ya sasa.

Huku waafrika tukiishia kujikita kwenye "vipaji" sijui mpira, muziki, na ujinga ujinga mwingine wa ivyo tukiwatumbuiza wakoloni wa kichina.

Wazee wa sasa wanaiuza nchi kwa mchina wakifikiri ni rafiki mwema, wanasahau urafiki wa wazazi sio urafiki wa watoto.

Iko tayari mikononi ya mzungu so kuiuza wanajaribu kujinasua kwa mzungu kwa kupitia mchina
 
Ikiwa kuzaa kama panya ndio uchumi bora, basi kwa hakika tumeipiku mpaka uRaya!

We are the top economy in the world just behind China and the US! How FANTASTIC!!

Japo tunakunywa maji ya tope na kusoma kwenye madarasa mabovu yasiyo na sakafu lakini potelea mbali. Tuko vizuri mno!

I like this!
 
Huo mminyano utakaokuwepo Ugands na jinsi nchi yao ilivyo ndogo sijui itakuwaje
 
Hapo ndio tutamuona mkoloni wakichina. Watarudi Afrika kutekeleza masharti ya mikataba yao ya sasa.

Huku waafrika tukiishia kujikita kwenye "vipaji" sijui mpira, muziki, na ujinga ujinga mwingine wa ivyo tukiwatumbuiza wakoloni wa kichina.

Wazee wa sasa wanaiuza nchi kwa mchina wakifikiri ni rafiki mwema, wanasahau urafiki wa wazazi sio urafiki wa watoto.

Mungu azidi kuwabariki wachina na awaangamize mabeberu wa kizungu wasioitakia mema ulimwengu mzima.

Mchina ndie kila kitu barani afrika na duniani kote, hususani watanzania vijana wengi zaidi wamejikwamua kimaisha.

China ✔
Marekani ❌
 
No doubt by 20100 Africa Population itakuwa sawa na Asia
Hapo ndio hofu ya jamaa zangu"whites" inapoanzia.... wakat yakwao itakuwa dormant waafrika wanatiririka na uza bila mpango... threat to everything in the world...
Nadhan tuombe Mungu figisu kwa mataifa jeur kwenye population control nitakuwa nyingi sana
 
Back
Top Bottom