Tanzania kwa gharama zake ijenge SGR kwenda Kampala Uganda, Kigali Rwanda, Kinshasa Congo, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia, Maputo Msumbiji

Tanzania kwa gharama zake ijenge SGR kwenda Kampala Uganda, Kigali Rwanda, Kinshasa Congo, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia, Maputo Msumbiji

Trophoblastic

New Member
Joined
Sep 9, 2026
Posts
2
Reaction score
2
Maana yake kwenye mkakati wa Dira ya miaka 20 ijayoo ijenge SGR kwa gharama zake ikiziunganisha Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji, Zambia, Malawi lkn pia iboreshe intensively nishati ya umeme ishushe gharama ya nishati ya umeme kwa kiwango kikubwa sana na pia aggressively isambaze SGR kwenda kila mkoa wa Tanzania kutoka Dar es Salaam
 
Too late.
Wamarekani wanajenga SGR kutoka bandari ya Lobito Angola kupitia Zambia hadi DRC huku Ruto na Museveni wamekubaliana kutengeneza yao kutoka Mombasa kupitia Uganda hadi DRC kwenye migodi.
 
Akimaliza huyu mmama itakuwa rahisi kuutekeleza huo mpanga wako.mama hana huo uwezo.uwezo wake ni kuteka tu qa kina hamphrey polepole na emanuel nchimbi ili aendelee kuinyonya Tanganyika
 
Back
Top Bottom