Tanzania kwanini tuko kimya kwa Yussuf Poulsen?

Tanzania kwanini tuko kimya kwa Yussuf Poulsen?

MICSIMON

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
41
Reaction score
13
Wazee wa michezo, huyu mwamba tunaanza kumdiscuss lini?

Mdigo anaewakilisha taifa la mama yake.

Damu yetu hii mbona hatuipi air time kwenye vyombo vyetu vya habari?

YP.jpg
 
Tupe CV yake ya soka Kama alianzia chandim
 
Unataka apewe promo ya nini wakati ye mwenyewe kashaikacha Tanzania na kaamua kuchezea Denmark?

Mwangalie Collum Hudson Odoi alipokosa nafasi England kaamua kurudi Ghana
 
Huyo dogo huwa namsikia sana lakini sijawahi kuona kipaji chake, tusimkomalie tu kwasababu anatoka nje.
 
Unataka apewe promo ya nini wakati ye mwenyewe kashaikacha Tanzania na kaamua kuchezea Denmark?

Mwangalie Collum Hudson Odoi alipokosa nafasi England kaamua kurudi Ghana
Sijui Kama unafuatilia mambo
 
wapo wengi Sana na ni vijana was under 23 Ila hawazunguziwi mpaka wachague mataifa mengine tunaanza kulia lia
Na Kuna yule mweusi alikipiga kwenye kombe la dunia urusi akiwakilisha Denmark Kama sikosei nasikia yeye ni home boy kabisaa yaani
 
Kama mwenyewe alichagua kuwa Mdenmark kwa nini tuanze kushoboka nae?. Tutamjadili kama wachezaji wengine wa nje.
 
Huyu atakuwa wa pili kuchezea Denmark na ana asilimia ya Tz..
 
Ila anasema alichagua Denmark baada ya kuambiwa huku TZ haitowezekana kutokana na katiba kukataza uraia Wa nchi mbili hivyo akaamua kubaki kwa mamake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom