Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapo wengi Sana na ni vijana was under 23 Ila hawazunguziwi mpaka wachague mataifa mengine tunaanza kulia liaDuuuu Kuna sehemu kwenye mirija yetu ya ubongo Kuna shida
Na Kuna yule mweusi alikipiga kwenye kombe la dunia urusi akiwakilisha Denmark Kama sikosei nasikia yeye ni home boy kabisaa yaaniwapo wengi Sana na ni vijana was under 23 Ila hawazunguziwi mpaka wachague mataifa mengine tunaanza kulia lia
Huyo dogo huwa namsikia sana lakini sijawahi kuona kipaji chake, tusimkomalie tu kwasababu anatoka nje.
Ndio huyo anayesemwa na mtoa mada hapoNa Kuna yule mweusi alikipiga kwenye kombe la dunia urusi akiwakilisha Denmark Kama sikosei nasikia yeye ni home boy kabisaa yaani
Mambo gani?Sijui Kama unafuatilia mambo