Yah bro mm n editorπ Bro
I know ww ni editor
ππYah bro mm n editor
Ila n kweli editor wa Bongo jau, nadhani pia n kutokana na aina ya kazi za mhusika anazofanya
Mwingine anajua kupanga matofali tuu, ukimwambia weka mask haelewi anadhani ni mambo ya maabara π
Dah bro, mm kwenye mambo ya social media nipo nyuma knoma hasa kuweka kazi zangu, hata hvy kazi zangu n za kawaida tuu hazina maajabu yoyote n kama hizi hizi za kibongo tuu.ππ
Ig unajiitaje bro nikapate inspiration
Nimeamua kuanza kujifunza editing Ili kulikomboa Taifa
Tusije dhalilika mbeleni
Dah bro, umenitonesha kidonda.Aah ulisomea kabisa Hadi degree au ndo ulijifunza mwenyewe
Premiere proUnatumia program gani ?
Nisha install Ae
ππ
Labda kwenye kujiamulia mambo
Yah sijui tunafeli wapi mzee ila hizi kozi nasikia wanafundisha vitu shallow kishenzi yaani ukitoka na ujuzi wao bila kuongezea vya kwako huwezi compete kwenye market hata kiduchuuDah bro, umenitonesha kidonda.
Nna diploma in Film Production nmesomea udom, n moja ya kitu cha kijinga nimewahi kufanya mana h elimu unaweza kuipata mtaani au kujifunza kwenye vyuo vya kawaida mtaani
Afu bado cjapata kile nachotaka kupitia h elimu zaudi ya majanga tu kudadeki
YAH mzee, Yn chuo unapewa 20% tuu hizo 80% unaenda kuzitafuta mwnyw duniani huko, tena Unakutana na ishu mpya hujawah kuziona πYah sijui tunafeli wapi mzee ila hizi kozi nasikia wanafundisha vitu shallow kishenzi yaani ukitoka na ujuzi wao bila kuongezea vya kwako huwezi compete kwenye market hata kiduchuu
H program sio ya mafala, niliwah kuingia ista nikakutana na upuuzi ety jamaa anashindanisha capcut na premiere pro πUnyama Sanaa
Maji nishayavulia nguo Sina budi kuyaoga kakaYAH mzee, Yn chuo unapewa 20% tuu hizo 80% unaenda kuzitafuta mwnyw duniani huko, tena Unakutana na ishu mpya hujawah kuziona π
Ila YouTube kule ndio chuo sasa, kuna channel za wazungu kibao zinafundisha mpaka unaona hakuna haja ya chuo wala cheti.
Kama umeamua kuingia kwenye production, ukijisemea nakaza miezi sita kwenye YouTube nakuhakikishia hakuna editor yeyote Bongo atagusa uwezo wako.