TANZANIA KWENYE VIDEO EDITING TUPO NYUMA SANAA

TANZANIA KWENYE VIDEO EDITING TUPO NYUMA SANAA

Capcut 🌈

Premiere ni level nyingine
Capcut n ya kufanyia vicontent za ngono then wapost insta mana macontent creators wa Bongo hawana la maana zaidi ya contents za ngono tuu 😂
 
Capcut n ya kufanyia vicontent za ngono then wapost insta mana macontent creators wa Bongo hawana la maana zaidi ya contents za ngono tuu 😂
Hata movie nyingi za kibongo ni mapenzi tuuuu hawana mada nyingine
 
Yah bro mm n editor

Ila n kweli editor wa Bongo jau, nadhani pia n kutokana na aina ya kazi za mhusika anazofanya

Mwingine anajua kupanga matofali tuu, ukimwambia weka mask haelewi anadhani ni mambo ya maabara 😂
Unaposema wewe ni editor nakubaliana nawe. Nilijiona kwenye kala kavideo ka bi nyau 🤣😂
 
Maji nishayavulia nguo Sina budi kuyaoga kaka

Nimepakua mashine ya 32gb Ram
Safi mzee, h industry n bc tuu Kibongobongo haina pesa ila n bonge moja la mchongo.

Kuna ile ngoma ya Marron 5 inaitwa girl like you, kwenye video watu wanabadilikabadilika, siku nkachek namna ya kutengeneza video kama hiyo, ah kudadeki nikaishia katikati mana kichwa kilianza kuuma 😂
 
Kwani tupo mberee kwenye kitu gani mkuu? Mungu (kama yupo) atusameheage tu kwani hatujui hata tuna faida gani kwa mankind
Nahisi kwenye hizi ishu tunaweza kusikika
  • Kutengeneza mitishamba feki ya nguvu za kiume.
  • Kiiana kionya kutetea siasa siasa uchwara
 
Yah kibongo bongo akitokea mtu anaedit seriously na anajua

Unapiga sanaa helaaa
Kibongobongo jau mwanangu, mtu anataka kukulipa kama vile ananunua maembe dukani
 
Sisi tunaowashambulia wanaupinde (🌈) kwa makombora mazito lazima tuwe na IDs nyingi ili tukibaniwa tuwe active kwa jukwaa.
I'd za kimkakati.
Mm kama n kurusha mabomu narusha fresh tuu, sina akili za kufungulia I'd nyngn labda h ufutwe
 
Back
Top Bottom