TANZANIA KWENYE VIDEO EDITING TUPO NYUMA SANAA

I'd za kimkakati.
Mm kama n kurusha mabomu narusha fresh tuu, sina akili za kufungulia I'd nyngn labda h ufutwe
Wewe hujawahi kupigwa ban mkuu, kwa sababu hupendi vita. Mimi muathirika wa ban nimeamua kuwa na I'd nyingine.
 
Kumbe leo ndo unajua πŸ˜‚πŸ€£
Mbona nilishtangaza kabisa kwa wanafunzi wangu wa nyeto kitambo sana.
Fala sana ww jamaa

Unadhani ht hua nafatilia bc mzee wangu, ndo kwanza najua hilo leo + kwenye ule uzi mwngn tunavoongelea nyeto πŸ˜‚
 
Nimekuja kihivi, kule kweingine kuna watu wananiwinda sana, nikitemeza tu wananiripoti 🀣 nimeona isiwe tabu.
 
Tena mm nikijua kuna mtu ananiwinda ndo napenda nakula sahani moja nae wima wima
 
Unashanga unampiga jiwe mwanaupinde baada ya kukuchokoza halafu china ya comment yako anamtag melo kwa id yake nyingine πŸ˜…
 
Melo kwa I'd nyngn πŸ™Œ

Ah sasa hapo uligusa meza yenye vinywaji vya gharama, lazima wazee wa kazi wadeal na ww kwa style ya ukisimama nchale ukiinama nchale πŸ˜‚
 
Halafu chanzo cha kuifungua hii ni kwamba ile nyingine kipindi fulani wali-disable. Nikawa natumia hii kuwasiliana na melo Ili ifunguliwe, hapo ndipo nikapewa ruhusa ya kuwa nazo mbili πŸ˜…
 
Kumbe kuwa na mbili rasmi inawezekana πŸ˜‚
 
Skills nyingi za editing unajifunza mwenyewe, then kazi nyingi zinakupa ideas tofauti halafu ndipo unakuza skills...

Miaka ya nyuma mimi na mshikaji mmoja anaitwa Joe, tulikuwa tuna inspire watu JF wajifunze graphic designs, tulianzisha special thread ya JF wallpaper, ule uzi sijautembelea miaka ingawaje kuna watu walikuwa wanajaribu jaeibu kuweka kazi zao...
 
Hujapata Adobe photoshop una uhakika?
 
Nafikiri tupo nyuma kwenye vitu vingi Sana, bila ya kupambana mwenyewe hutoboi, usisubiri mifumo ikae sawa, ww ndo tengeneza mifumo yako though inabidi ukaze mshipa Sana.
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…