Wana Jf, ninaomba mwenye Link ya Tanzania Law Report na kesi ya mwenendo wa kesi ya mwamwindi v R na hukumu yake. NitaSHUKURU SANA. nakama link ya kesi ya mwimwindi haipo basi nijulishe nitawapa wapi Hardware yake mimi nipo Ruangwa Mkoa wa Lindi
Asante sana