tanzania Law Report

tanzania Law Report

NYADOGI

Senior Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
132
Reaction score
24
Wana Jf, ninaomba mwenye Link ya Tanzania Law Report na kesi ya mwenendo wa kesi ya mwamwindi v R na hukumu yake. NitaSHUKURU SANA. nakama link ya kesi ya mwimwindi haipo basi nijulishe nitawapa wapi Hardware yake mimi nipo Ruangwa Mkoa wa Lindi
Asante sana
 
Hardcopy yake nadhani unaweza kuipata mahakamani ilikohukumiwa kesi. Otherwise tusubiri learnt bros & sis.
 
Back
Top Bottom