Tanzania leads international air arrivals

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Screenshot_20180309-121603.png
Screenshot_20180309-121619.png
Screenshot_20180309-121631.png
Screenshot_20180309-121640.png
 
Attachments

  • Screenshot_20180309-121603.png
    Screenshot_20180309-121603.png
    72.5 KB · Views: 40
hii nchi dah!, arrival ni mafanikio? wanatoa visa zetu kifala sana kwa sababu wanazoziita za kitalii. mwisho tunaingiza watu wasiostahili kabisa kuingia humu
 
Mkuu wewe mtu wa wapi?. Hivi unajua dunia nzima inapigania arrivals.? Utakuzaje utalii na uwekezaji bilakuwa na arrivals!
 
it looks like the Isiolo airport hahahahahaha woi... 😀😀😀
Imekuingia vizuri sana naona umesha anza kujipa moyo. Pitia na hii ya Mwanza wakati nakutafutia pia ujenzi wa Chato
 
Inafanana na our 4th International air port huko Isiolo... Hakuna wivu.. siwezi kucheka vile airport ya upuzi kama hio unaonyesha ndio number 1 kwetu.... wah tanzania muko nyuma sana.. i say
 
Again, kujikweza kwenye ubora wenu
 
Inafanana na our 4th International air port huko Isiolo... Hakuna wivu.. siwezi kucheka vile airport ya upuzi kama hio unaonyesha ndio number 1 kwetu.... wah tanzania muko nyuma sana.. i say
Waache wajiliwaze jombaa, we unasikia Tz ndio nchi ambayo haijui kabisa furaha ni nini, Afrika nzima wanaongoza kwa huzuni! Acha kuwaongezea stress ndugu zetu maskini wa Mungu. Try to cheer them up. 😀😀😀
 
Inafanana na our 4th International air port huko Isiolo... Hakuna wivu.. siwezi kucheka vile airport ya upuzi kama hio unaonyesha ndio number 1 kwetu.... wah tanzania muko nyuma sana.. i say
Naona taratibu mapigo ya mwoyo yamepanda
 
sasa unashangaa kuwa under construction au unafikiri airports huwa zinashushwa kutoka mbinguni???
hii ni hatari sana kama wakenya wote wako na upuuzi wa kiwango hiki...!!
kazimalize
Dec-28-15-JPM-What-Road-Map.jpg
 
Hehehe hapo midege yetu minne bado haijatia maguu? Huhuhuhuu
 
Back
Top Bottom