Ukisoma barua ambayo David Ndii amumandikia Uhuru Kenyatta leo, ameeleza hivyo hivyo. Jana Uhuru Kenyatta amezindua urusha angani wa Balloons za google ili kufikisha 4G network vijijini.
Ndii anasema, rais Uhuru hajui nini anataka, badala ya kuja na mikakati thabiti ya kudhibiti Corona, yeye anaanzisha mambo ambayo hata huko dunia ya kwanza bado sio kipaumbele, 4G vijijini ambako hata maji, barabara, chakula, Nzige, na usalama bado inasumbua?, mimi mwenyewe na "form 4" sijaona umuhimu wa kuingia katika mfumo wa 4G, bado 3G inakidhi mahitaji yangu yote.
Sent using
Jamii Forums mobile app