Stanadard gani mliyonayo kila siku mnabadilisha mifumo ya elimu?
Wakenya mje kusoma bongo? π π mtiti wake mtauweza? kwa taarifa yako, wanaoenda kusoma Kenya baadhi yao wanakuwa wameshindwa kuendelea kusoma Tanzania.
Hivi hiyo satellite inaongoza nini au inasaidiaje Kutatua matatizo ya msingi ya Kenya ?. Hivi anajua matatizo ya Wakenya ya msingi ni yapi?Nikisema wewe ni kiazi huelewi nina maana gani.
Ethiopia is much advanced in that area.
I can assure you without any doubt that I have a better perspective not only on Africa, but the world in general than you claim, hata bila ya kwenda ku-'google' kwanza.
Unayoweka hapa yanakuonyesha wewe kama mtu limbukeni tu asiye na ufahamu juu ya mambo anayoyaongelea.
Kwa mfano hilo la "Kenya kuwa na satellite," lina umaarufu gani mbali tu ya kutegemea nchi nyingine juu ya hiyo satellite;na unasahau kuwa Africa zipo nchi nyingine zenye satelitte zao na Kenya sio nchi ya kipekee katika hilo.
Halafu unakuja hapa kujigamba uionyeshe Kenya kuwa nchi ya kipekee sana kuliko zingine.
Ninajua zaidi unavyojua. Let's put it that way.USELESS TALK:
View attachment 1399093
unajua nn kuhusu tech wewe? unaongea sana bro alafu amna cha maana unaongea! cha ajabu una niaddress utadhan mm mkenya: WTF?? nshakwambia hakuna platform ya tech sjafanya africa, kuanzia google mpaka IBM zote nmefanya, its no denial that KENYA has the best tech hio moja!
upande wa economy bado sana mdogo wangu, tembea tembea uone izi kelele unapiga apa unaonekana chizi tu, afterall tanzania is the 3rd in east africa alone kwa economy, unajua we tatizo lako ni kelele zisizo na msingi,
It is because you don't read and understand what is written and associate that with the discussion at hand. That's why you are subgrade.See this idiot.. satelite ina maarufu gan? WTF , ila sishangai you better shut the hell up, tech hujui, huna unalojua kuhusu tech africa hii, ukishakulaga hayo maharage ndo unaona umemaliza africa
Eeenh He, the true Kenyan of you is coming through.in a simple word your a fool who is also a fool also
Haiongezi chochote kwenye hoja zako.RUBBISH!
Hawezi kulielewa hilo.Hivi hiyo satellite inaongoza nini au inasaidiaje Kutatua matatizo ya msingi ya Kenya ?. Hivi anajua matatizo ya Wakenya ya msingi ni yapi?
1)Rushwa
2)Ukosefu wa Ajira
3)Njaa
4)Crime
5)Terrorism
6)Ukabila
7)Ukosefu wa ardhi ya kutosha
8)Wizi serikalini
9)Pengo kubwa kati ya tajiri na masikini
10)Slums.
Kati ya hizi, ni ipi inatatuliwa kwa kutuma satellite angani?,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisoma barua ambayo David Ndii amumandikia Uhuru Kenyatta leo, ameeleza hivyo hivyo. Jana Uhuru Kenyatta amezindua urusha angani wa Balloons za google ili kufikisha 4G network vijijini.Hawezi kulielewa hilo.
Yeye na nchi yao ni kutafuta sifa tu.
Wanaona wakiwa na satellite, wataonekana wao wako juu sana hata kama satellite yenyewe haiwasaidii chochote.
Ni watu wa ajabu sana hawa.
Tabia hii ya majigambo wameanza hata sisi kutuambukiza huku.
Baadhi ya wapumbavu kila kitu kidogo tu kinapofanyika wanatoka kujidai na kupayuka.
Economy ipi?upande wa economy bado sana mdogo wangu, tembea tembea uone izi kelele unapiga apa unaonekana chizi tu, afterall tanzania is the 3rd in east africa alone kwa economy, unajua we tatizo lako ni kelele zisizo na msingi,
Ukisoma barua ambayo David Ndii amumandikia Uhuru Kenyatta leo, ameeleza hivyo hivyo. Jana Uhuru Kenyatta amezindua urusha angani wa Balloons za google ili kufikisha 4G network vijijini.
Ndii anasema, rais Uhuru hajui nini anataka, badala ya kuja na mikakati thabiti ya kudhibiti Corona, yeye anaanzisha mambo ambayo hata huko dunia ya kwanza bado sio kipaumbele, 4G vijijini ambako hata maji, barabara, chakula, Nzige, na usalama bado inasumbua?, mimi mwenyewe na "form 4" sijaona umuhimu wa kuingia katika mfumo wa 4G, bado 3G inakidhi mahitaji yangu yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Economy ipi?
Hii hapa chini?
Kawaulize hawa vijana wa Kisamburu kuhusu hiyo habari yako ya 'economy
Hizo picha za Nairobi ulitaka tu'conclude' vipi?So this is all you can conclude as an economy? really? you can do better than this bro! alafu mm sioni mantiki yako kwenye huu ubishi? wewe baki na unavojua tu ndo jibu la mwisho
Hizo picha za Nairobi ulitaka tu'conclude' vipi?
Ninapokwambia akili kichwani huna bado huelewi.
Sasa kuna umuhimu gani wa rais wa nchi kulihutubia taifa juu ya uzinduzi huo hasa katika kipindi hiki kigumu ambapo wananchi wanategemea kumsikia rais akizungumzia mambo ya dharura yanayoikabili Kenya?hio sio project ya serikali. ni ya kitambo sana ilianzishwa na google miaka inakaribia 10 sasa tokea ianzishwe. izo baloon zipo nchi nyingi sana including kenya pia! but tz hazipo! nchi zingine zinafanya kazi kama kawaida mfano facebook wanazo drone zao pia znatembea angani znatoa 4G pia, kuna some parts za kenya pia facebook wanatoa FREE WIFI , its an ongoing project za hizo makampuni, pia kuna ingine inaitwa star link ambayo ni satelites karibia 100K angani for 4G beam!
Sasa kuna umuhimu gani wa rais wa nchi kulihutubia taifa juu ya uzinduzi huo hasa katika kipindi hiki kigumu ambapo wananchi wanategemea kumsikia rais akizungumzia mambo ya dharura yanayoikabili Kenya?
1)Corona
2)Nzige
3)Uchumi
4)Njaa
Hivi katika kipindi hiki kweli rais unahutubia taifa kuhusu Balloons za google?
Sent using Jamii Forums mobile app