Kweli kabisa. Hata Kocha Ibenge alisema kuwa Simba inakodisha Hoteli ya nyota 5 wiki nzima. Haya ni matumizi mabaya ya fedha.Simba ichunguzwe inatumia hela nyingi kuliko inazoingiza
Kweli kabisa. Hata Kocha Ibenge alisema kuwa Simba inakodisha Hoteli ya nyota 5 wiki nzima. Haya ni matumizi mabaya ya fedha.
Wakati wenzao Yanga wameamua kubana matumizi kwa kukarabati jengo lao ili wachezaji wao wawe wanalala Klabuni Jangwani.
unaumwa weweSimba ichunguzwe inatumia hela nyingi kuliko inazoingiza
DAH!Kweli kabisa. Hata Kocha Ibenge alisema kuwa Simba inakodisha Hoteli ya nyota 5 wiki nzima. Haya ni matumizi mabaya ya fedha.
Wakati wenzao Yanga wameamua kubana matumizi kwa kukarabati jengo lao ili wachezaji wao wawe wanalala Klabuni Jangwani.
CAG ameelekeza aliyemsajili Sarpong na Fiston apelekwe TAKUKURU.Simba ichunguzwe inatumia hela nyingi kuliko inazoingiza
Yanga hana kitu tena,hata nafasi ya 2 hatapataYanga bado ananaafasi kubwa ya kushinda ligi kuliko team nyingi zote.
View attachment 1750057View attachment 1750058
Mawazo ya maskini utopolo utayajua tu!!Kweli kabisa. Hata Kocha Ibenge alisema kuwa Simba inakodisha Hoteli ya nyota 5 wiki nzima. Haya ni matumizi mabaya ya fedha.
Wakati wenzao Yanga wameamua kubana matumizi kwa kukarabati jengo lao ili wachezaji wao wawe wanalala Klabuni Jangwani.
Tujiandae kabisa , SIMBA hii ni hatariTimu ambazo Simba SC inaweza kucheza nazo fainali ya Klabu Bingwa Dunia mwaka huu
1.Man City
2.Chelsea
3.Real Madrid
4.PSG"
Mbumbumbu katika ubora wake.Timu ambazo Simba SC inaweza kucheza nazo fainali ya Klabu Bingwa Dunia mwaka huu
1.Man City
2.Chelsea
3.Real Madrid
4.PSG"