Tanzania; Ligi bado sana, Muda utaongea

Tanzania; Ligi bado sana, Muda utaongea

X-12

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
444
Reaction score
655
Yanga bado ananaafasi kubwa ya kushinda ligi kuliko team nyingi zote.

FB_IMG_1618224262011.jpg
FB_IMG_1618224271489.jpg
 
Simba ichunguzwe inatumia hela nyingi kuliko inazoingiza
Kweli kabisa. Hata Kocha Ibenge alisema kuwa Simba inakodisha Hoteli ya nyota 5 wiki nzima. Haya ni matumizi mabaya ya fedha.

Wakati wenzao Yanga wameamua kubana matumizi kwa kukarabati jengo lao ili wachezaji wao wawe wanalala Klabuni Jangwani.
 
Hahaha we jamaa unaweza Hata kwenda police kisa jirani yako anakula kuku kila siku
 
Kweli kabisa. Hata Kocha Ibenge alisema kuwa Simba inakodisha Hoteli ya nyota 5 wiki nzima. Haya ni matumizi mabaya ya fedha.

Wakati wenzao Yanga wameamua kubana matumizi kwa kukarabati jengo lao ili wachezaji wao wawe wanalala Klabuni Jangwani.
DAH!
 
Kwani mtiti wa leo kwa speed hii yanga wakauze tu Mayai
 
Kweli kabisa. Hata Kocha Ibenge alisema kuwa Simba inakodisha Hoteli ya nyota 5 wiki nzima. Haya ni matumizi mabaya ya fedha.

Wakati wenzao Yanga wameamua kubana matumizi kwa kukarabati jengo lao ili wachezaji wao wawe wanalala Klabuni Jangwani.
Mawazo ya maskini utopolo utayajua tu!!
 
Timu ambazo Simba SC inaweza kucheza nazo fainali ya Klabu Bingwa Dunia mwaka huu
1.Man City
2.Chelsea
3.Real Madrid
4.PSG"
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom