Tanzania lini tuliwahi kuwa matajiri hadi tuanze kulalamika tunarudi kwenye umaskini?

Tanzania lini tuliwahi kuwa matajiri hadi tuanze kulalamika tunarudi kwenye umaskini?

umasikini husababishwa na vitu kama rushwa na uchumi kumilikiwa na wachache. dr. magufuli aliliona hili na kuamua kupambana nalo kwa maneno na vitendo.

mama badala yake naona yuko busy kuwaramba miguu wala rushwa waliojivika kiremba cha wafanyabiashara. lazima turudi kwenye umasikini.
Dah kiukweli hua siamini kwamba yule jamaa sasa hatuko nae tena. Yaan ni kama miujiza vile yan lkn ndo ukweli kwamba hayupo tena na maisha yanasonga kwa kasi.
 
Kuna watu wanaleta propaganda za ajabu sana nchini, kwamba eti tumerudi kwenye umaskini kwa sababu ya Rais mpya.

Naomba kuwauliza lini tumewahi kuwa matajiri? Hizi mentality za kitumwa tumezitoa wapi? Unafunguliwa kifikra na kupewa Uhuru wa kuwaza na kusema unasema umekuwa maskini?

Kwamba tulipotoka ambapo kesi 147 zilikuwa zakubambikiwa ndo utajiri? Kwamba uchumi tulioaminishwa upo 6.7 kumbe upo 4.8 ndo utajiri? Kwamba uharibifu wa demokrasia ndio utajiri? Upokwaji wa Uhuru wakujieleza ndio utajiri?

Kwamba wanapropaganda Hawa wamefika sehemu wanaamini kwenye vitu kuliko kuamini ustawi wa watu? Hapana tukubali kwamba tumechelewa na tunahitaji Katiba mpya yakutuepisha na mkono wa chuma. Taifa linahitaji watu si mtu.
Wafuasi wa mwendakuzimu walifungwa fikra hawawezi tena kufikiri maana maiti ya mwendakuzimu imeondoka na uwezo wao wa kufikiri
 
Unafunguliwa kifikra na kupewa Uhuru wa kuwaza na kusema unasema umekuwa maskini?
Uhuru wa kuwaza na kusema? Lini nchi hii ilishawahi kukosa uhuru wa kuwaza na kusema?

Ndio maana huwa tunasema kati ya vitu vibovu kabisa kuwahi kutokea katika maisha ya mtu mwafrika ni kutawaliwa na mkoloni. Mkoloni alichokifanya ni kupandikiza vinadharia na vimisemomisemo ambavyo mwafrika alivibeba "hook, line and sinker". Eti freedom of speech and expression, na wanaharakati wanavyokubali kutumika kama ile mipira yetu pendwa kushadadia hivyo vimisemo utadhani watu tunakula na kupumua kwa kutumia freedom of speech. Nadhani sasaLibya waliotumika kumuua Ghadafi kisa vimisemo vya kibeberu "freedom of speech" watakuwa wanakula hiyo freedom of speech leo hii na kufaidika nayo.

Ni hivi: JPM alitujenga sana kifkra na huo ndio utajiri namba moja. Leo hii kama kuna mtanzania anayeamini kwamba kuconform na mawazo na fikra za kimagharibi ndio namna ya kutajirika huyo mtu tayari ni maskini hata kabla ya kitu kingine chochote. Watu wa nchi hawajawahi kupungukiwa na uhuru wa kutoa maoni, sana sana miaka ya JPM iliwafumbua macho kwamba kuna vimisemo fulani vinavyoitwa uhuru wa maoni lakini kumbe ni propaganda za kuwapumbaza waafrika huku utajiri halisi ukikwapuliwa au kudumazwa na wale wanaotaka siku zote tubaki mikia.
 
Kuna watu wanaleta propaganda za ajabu sana nchini, kwamba eti tumerudi kwenye umaskini kwa sababu ya Rais mpya.

Naomba kuwauliza lini tumewahi kuwa matajiri? Hizi mentality za kitumwa tumezitoa wapi? Unafunguliwa kifikra na kupewa Uhuru wa kuwaza na kusema unasema umekuwa maskini?

Kwamba tulipotoka ambapo kesi 147 zilikuwa zakubambikiwa ndo utajiri? Kwamba uchumi tulioaminishwa upo 6.7 kumbe upo 4.8 ndo utajiri? Kwamba uharibifu wa demokrasia ndio utajiri? Upokwaji wa Uhuru wakujieleza ndio utajiri?

Kwamba wanapropaganda Hawa wamefika sehemu wanaamini kwenye vitu kuliko kuamini ustawi wa watu? Hapana tukubali kwamba tumechelewa na tunahitaji Katiba mpya yakutuepisha na mkono wa chuma. Taifa linahitaji watu si mtu.
Umesahau ule utajiri wa propaganda na vitisho tuliokuwa nao?
 
umasikini husababishwa na vitu kama rushwa na uchumi kumilikiwa na wachache. dr. magufuli aliliona hili na kuamua kupambana nalo kwa maneno na vitendo.

mama badala yake naona yuko busy kuwaramba miguu wala rushwa waliojivika kiremba cha wafanyabiashara. lazima turudi kwenye umasikini.
Propaganda ikikomaa vizuri kwenye fikra ya mtu ni ngumu sana kutoka. Ukipewa muda utapata ufahamu na utaelewa.
 
Back
Top Bottom