Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Dah kiukweli hua siamini kwamba yule jamaa sasa hatuko nae tena. Yaan ni kama miujiza vile yan lkn ndo ukweli kwamba hayupo tena na maisha yanasonga kwa kasi.umasikini husababishwa na vitu kama rushwa na uchumi kumilikiwa na wachache. dr. magufuli aliliona hili na kuamua kupambana nalo kwa maneno na vitendo.
mama badala yake naona yuko busy kuwaramba miguu wala rushwa waliojivika kiremba cha wafanyabiashara. lazima turudi kwenye umasikini.
Wafuasi wa mwendakuzimu walifungwa fikra hawawezi tena kufikiri maana maiti ya mwendakuzimu imeondoka na uwezo wao wa kufikiriKuna watu wanaleta propaganda za ajabu sana nchini, kwamba eti tumerudi kwenye umaskini kwa sababu ya Rais mpya.
Naomba kuwauliza lini tumewahi kuwa matajiri? Hizi mentality za kitumwa tumezitoa wapi? Unafunguliwa kifikra na kupewa Uhuru wa kuwaza na kusema unasema umekuwa maskini?
Kwamba tulipotoka ambapo kesi 147 zilikuwa zakubambikiwa ndo utajiri? Kwamba uchumi tulioaminishwa upo 6.7 kumbe upo 4.8 ndo utajiri? Kwamba uharibifu wa demokrasia ndio utajiri? Upokwaji wa Uhuru wakujieleza ndio utajiri?
Kwamba wanapropaganda Hawa wamefika sehemu wanaamini kwenye vitu kuliko kuamini ustawi wa watu? Hapana tukubali kwamba tumechelewa na tunahitaji Katiba mpya yakutuepisha na mkono wa chuma. Taifa linahitaji watu si mtu.
Uhuru wa kuwaza na kusema? Lini nchi hii ilishawahi kukosa uhuru wa kuwaza na kusema?Unafunguliwa kifikra na kupewa Uhuru wa kuwaza na kusema unasema umekuwa maskini?
Umesahau ule utajiri wa propaganda na vitisho tuliokuwa nao?Kuna watu wanaleta propaganda za ajabu sana nchini, kwamba eti tumerudi kwenye umaskini kwa sababu ya Rais mpya.
Naomba kuwauliza lini tumewahi kuwa matajiri? Hizi mentality za kitumwa tumezitoa wapi? Unafunguliwa kifikra na kupewa Uhuru wa kuwaza na kusema unasema umekuwa maskini?
Kwamba tulipotoka ambapo kesi 147 zilikuwa zakubambikiwa ndo utajiri? Kwamba uchumi tulioaminishwa upo 6.7 kumbe upo 4.8 ndo utajiri? Kwamba uharibifu wa demokrasia ndio utajiri? Upokwaji wa Uhuru wakujieleza ndio utajiri?
Kwamba wanapropaganda Hawa wamefika sehemu wanaamini kwenye vitu kuliko kuamini ustawi wa watu? Hapana tukubali kwamba tumechelewa na tunahitaji Katiba mpya yakutuepisha na mkono wa chuma. Taifa linahitaji watu si mtu.
Propaganda ikikomaa vizuri kwenye fikra ya mtu ni ngumu sana kutoka. Ukipewa muda utapata ufahamu na utaelewa.umasikini husababishwa na vitu kama rushwa na uchumi kumilikiwa na wachache. dr. magufuli aliliona hili na kuamua kupambana nalo kwa maneno na vitendo.
mama badala yake naona yuko busy kuwaramba miguu wala rushwa waliojivika kiremba cha wafanyabiashara. lazima turudi kwenye umasikini.