Tanzania losing DRC to Kenya

Haha nyie kenyani mnachekesha ....hivi mnaijua tz au? Hiyo drc ni system yetu mana tunaweza fanya lolote kwenye issue za trade ..... mana ni ukanda wetu huo huyo raisi wa drc atakuja tz mda si mrefu alafu utaona kibao kitavyo geuka kama uganda na rwanda nyie na washauli mkomae na s.sudani ndio soko la uhakika subiri jakaya ataenda kumpongeza mda si mrefu usikie kibao kinavyo geuka....
 
Walijiona lulu walipokuwa wakiwazingua wahafidhina wa ukoo wa Kabila. Leo hii kumeibuka nyota mpya Tshisekedi ambaye ana nia ya kuchukua mkondo mpya . Anafanya kweli jombaa, hana muda wa longolongo na ukajanja wao.
 
Dah! Subili uone asipokuja tz
Tz ..... mi najitoa jf.....atakuja mwenyewe bila ya kuitwa jombaaa na utasikia akisema bandali ya dar ndio salaama kwa mizigo yetu yeye mwenyewe bila ya kushinikizwa na ataongeza raisi magufuli ndio raisi bora atasema tena wakongo man wapo wengi tz na wanamuziki mashuhuri tz sawasawa na nyumbani mtashangaa wenyewe mama tuna majeshi yanalinda amani kongo....na tuna system kule mbuuzi nyiee
 

Tanzania atakuja tu msitie hofu, wote wanajua dawa yenu ni kuja kuwakuna tu na kuwaita ndugu halafu mnabweteka na kutulia. Hicho ndio kikubwa kwenu, kwamba waje tu na kuwaita ndugu basi.
Lakini sisi tupo kimaslahi zaidi maana ndio dunia ilivyo, SADC huko mlipeleka kiherehere chenu cha kumwaga damu, leo hii Afrika Kusini wakianza zile vurugu zao za kuwaua Waafrika wageni, huwa hawatambui Utanzania wala nini, juzi tulisoma taarifa za Msumbiji wanavyowatesa raia wa Tanzania na kuchana paspoti zenu na kuwanyang'anya kila kitu.
Mumezungukwa na hayo mataifa tisa, badala ya kuchangamkia fursa, mumezubaa hadi mnaachia tuwape ushindani hata kwa mataifa ambayo hatuna mpaka nao, ni aibu sana eti tunagombania na nyie soko la Rwanda, Burundi, DRC n.k.
Yaani ni kama mje mshindane na sisi kwenye soko la Sudan Kusini, yaani ikifikia hatua kama hiyo naihama hii nchi maana itakua kama tusi mbaya sana.
 
Kumbe usha kimbia tz kweli magufuli kiboko
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mbona unajichanganya mzee, hapohapo unakiri watz Wako south africa na Msumbiji, hapohapo unasema wamezubaa, sasa hao watz huko wanaenda kufanyaje, Kuhubiri injili? Njaa inakuchanganya Dingi Unazeeka vibaya
 
Jombaa, labda umejitosa kwenye comments kabla ya kusoma bango la mleta mada. Wakenya wanazifata na wamekuwa wakizifata hizo Fursakibao tangu enzi zileee. Huu mchezo hauhitaji hasira.
@Fursakibao. Lol!
Warning shots fired. The just elected President of DRC is a Kenyaphile. Tanzanian diplomats liangalieni hili msikubali DRC, a long time ally of Tanzania, iingie kwenye sphere of influence ya Kenya!
Chill bro, Doctor Congo is big, really big. We can all share him. And by 'all' I mean the whole of Africa and beyond. DR Congo needs more than Tanzania and Kenya to restore peace (Duh! As if it has ever had peace) and prosperity.
 
 
Tulia ndo utajua kwamba system zetu zime lala au sis ni mafia zaidi unavyo fikilia si unaona sgr yenu tume inajisinhakunahhabarihyaakuifikishairwandarwandabomba.lammafitamugandautumewachapaasasaaaposkongo tulia uone..
 
Mbona unajichanganya mzee, hapohapo unakiri watz Wako south africa na Msumbiji, hapohapo unasema wamezubaa, sasa hao watz huko wanaenda kufanyaje, Kuhubiri injili? Njaa inakuchanganya Dingi Unazeeka vibaya

Wazamiaji hata wakifanywa nini lazima warudi huko huko.
Huku kwetu omba omba wenu hufurushwa lakini ndio wanazidi kuongezeka.
 
Tulia ndo utajua kwamba system zetu zime lala au sis ni mafia zaidi unavyo fikilia si unaona sgr yenu tume inajisinhakunahhabarihyaakuifikishairwandarwandabomba.lammafitamugandautumewachapaasasaaaposkongo tulia uone..

Duh hizi taarifa za Kenya kuingia DRC zinawatesa kweli, hadi mumeanza kuongea kwa lugha za ajabu, na bado hatujafika Zambia na Malawi tuwazunguke kwa mviringo maana Msumbiji tayari tupo nao.
 
Majirani wamesumbuka kweli kama MK254 alivyosema. Tunawazunguka Tz kama kisiwa bado Malawi juu Zambia pia wako kikapuni na sio muda mrefu hata Tz tuwatie ndani kwa nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…