NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
So where is the pipeline? π π π π πPeleka Ukunya keep dreaming! U won Uganda's pipeline n SGR too before!
Geza Ulole tuonyeshe hata an inch ya hio pipeline and while at it your govt is giving back cashew nuts to farmers after poor storage and claiming it was of substandard quality. DRC tumechukua tiyari go hug a transformer...bure kabisa!
Tunazindua Bagamoyo Port Mwaka huu....Ujenzi umekuwa ukifanyika mbio kabisa.....
Duh hizi taarifa za Kenya kuingia DRC zinawatesa kweli, hadi mumeanza kuongea kwa lugha za ajabu, na bado hatujafika Zambia na Malawi tuwazunguke kwa mviringo maana Msumbiji tayari tupo nao.
Nilishamwambia hyyu MK254 lakini anajitoa wazimu tuPeleka Ukunya keep dreaming! U won Uganda's pipeline n SGR too before!
Unajua nani kamuweka madarakani?DRC ni ndugu yetu hata Kabila aliishi na kusomea hapa Dar.... Tshisekedi hatambui huo upuzi.
We ndio unaropoka, Kenya ndio walimueka madarakani ,wakongo walitumiwa Tu kama chombo cha kueka mhuri.
Na Sisi tunawasaidia katika kuimarisha uchumi wao,sasa Sisi tuna umuhimu zaidi kuliko nyie.