Tanzania losing DRC to Kenya

Tanzania losing DRC to Kenya

Geza Ulole tuonyeshe hata an inch ya hio pipeline and while at it your govt is giving back cashew nuts to farmers after poor storage and claiming it was of substandard quality. DRC tumechukua tiyari go hug a transformer...bure kabisa!
 
Tunazindua Bagamoyo Port Mwaka huu....Ujenzi umekuwa ukifanyika mbio kabisa.....
 
Duh hizi taarifa za Kenya kuingia DRC zinawatesa kweli, hadi mumeanza kuongea kwa lugha za ajabu, na bado hatujafika Zambia na Malawi tuwazunguke kwa mviringo maana Msumbiji tayari tupo nao.
 
Samahani kwa hiyo luga ila nilikuwa nawahi kwenye kikao apa ofisini sikucheki vizuri nilivyo andika...
 
Back
Top Bottom