Tanzania mabasi ya BRT: This is how we run things (down)

Kwikwikwi Wakenya mtakufa kwa wivu. Hizo issue ni za zamani sana kabla watu hawajazoea.
Hizo issue sasa hivi hakuna na watu wamestaarabika sana tu.
Njoo utembelee dar acha kusimuliwa. Watu wanatumia digital card kulipa nauli.
Wajaluu wanatokwa na povu
 
The point is nyinyi kaeni tu bila kukabiki itikadi kali za kidini. The moment vijana wenu wamerudi from somalia na wakaanza another jihad front on Tanzanian soil ndio mtachekea jehanam
Walishajaribu mara nyingi tu na wakashindwaπŸ˜€
 
Badala ya kujiona mpo juu wakati hamna lolote, mngeenda Ethiopia kujifunza namna wanavyowadhibiti Al-Shabaab kushambulia Ethiopia.Mmekazana tu na sifa za kijinga wakati ulinzi wenu ni dhaifu.
Could Kenya Learn From Ethiopia's Anti-terror Strategy?
Seems Ethiopia is Handling its issues pretty great huh?

Just because Kenyas media space is Far superior than Ethiopias Doesnt mean Ethiopia Is best

55 ethiopian troops were killed in Ethiopia by ethiopians Last month

Do you know what will happen if that Number of KDF troops are killed?????

Nyamazeni Hamjui chochote nyie Google story za El adde after the attack on KDF and come back to me

Hiyo issue ya mwezi wa tano tayari hao wauaji wameshakamatwa na adhabu wamepata.

Sikiliza wewe kijana uendeshaji wa nchi tanzania ni tofauti sana na kenya.
Sisi kuna mabalozi kila mtaa. Kila mgeni anapoingia anajulikana.

Uharifu kenya upo juu sana.
Whatever makes you sleep well at night .....TELL YOURSELF !!

Extremism starts the same way!!
 
Hiyo issue ya mwezi wa tano tayari hao wauaji wameshakamatwa na adhabu wamepata.

Sikiliza wewe kijana uendeshaji wa nchi tanzania ni tofauti sana na kenya.
Sisi kuna mabalozi kila mtaa. Kila mgeni anapoingia anajulikana.

Uharifu kenya upo juu sana.
Huyu kiumbe sijui wa aina gani yani ni mgumu kuelewaπŸ˜€
 
Sammuel999 hao jamaa tulisha funga mahesabu kitambo sana..
Halafu kulikuwa na uvumi kule amboni Tanga.. huku wewe na your gikuyumates mkibwabwaja humu. umewahi sikia tena??
U know what??
They were silenced with silence deaths..
Hii ni chi na taifa la kijamaa..hata wewe ukija ukawa huelewekieleweki kitaa raia watakuripoti fasta na within same day utastukiaa mamwela wapo mlangoni .
 
Hii ndo shida yenu, hilo gari ulilotia pale ni kama hili hapa??? Nyinyi lakini? Na ukiangalia kwenye vyo zake utaona mengine mengi in reflection.

Bob haya ni mabasi ya ndani ya JKIA, umeombwa ya mtaani Nairobi au na hayo yanasaidia kupunguza foleni Nairobi?
 
The point is nyinyi kaeni tu bila kukabiki itikadi kali za kidini. The moment vijana wenu wamerudi from somalia na wakaanza another jihad front on Tanzanian soil ndio mtachekea jehanam
Wewe na wenzako mumeharibu uzi huu kwamambo yenu na ya kikudaπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…