Tanzania mabasi ya BRT: This is how we run things (down)

Walitoa hadi video hata bbc swahili waliongelea
Ndiomana narudia kusema kichwa yako haipo sawa, kama sisi tumeweza kuwaondoa isis, iweje nyinyi mshindwe kuwakimbiza hao wahuni alshabab? Inamaana wewe mwenyewe unakubaliana nami kuwa kdf si lolote.
 
Ndiomana narudia kusema kichwa yako haipo sawa, kama sisi tumeweza kuwaondoa isis, iweje nyinyi mshindwe kuwakimbiza hao wahuni alshabab? Inamaana wewe mwenyewe unakubaliana nami kuwa kdf si lolote.

Wee unaongea nini sasa????ISIS????Are you really ok in the head?????? :-[O🙂
 
Hypocritical indeed.

Our Tz civilization is built by fear and ignorance, not by instilled values.
 
Na nyinyi bado mnajishasha na kiswahili get a life this is the 21 century and FYI almost everyone in kenya is multi-lingual.
Mnajishasha ndio nini ? Au ndo mambo ya division 5
 
Kipi cha ajabu sasa hapo?
Nenda kwenye thread inayo husu Tz 27 duniani ukaone vitu wewe.
Acha longolongo. Anzisha thread ya ku compare JWTZ na kajeshi kenu ka Kenya drinking force.
Kdf ya kiboya xana
 
There is nothing to learn from Ethiopia in the fight against terror
Sio hawa wa ethiopia waliovuka mipaka yenu na kufanya vurugu kisha kuondoka na hamkuwafanya lolote?
Waliwakamata hata maafisa wenu wa jeshi huko kwao na wala hamjawafanya lolote?
Upoupo tu wala hujuwi lolote wewe vuvuzela😀
 
Sio hawa wa ethiopia waliovuka mipaka yenu na kufanya vurugu kisha kuondoka na hamkuwafanya lolote?
Waliwakamata hata maafisa wenu wa jeshi huko kwao na wala hamjawafanya lolote?
Upoupo tu wala hujuwi lolote wewe vuvuzela😀
Sijui mnavyofanya Tanzania lakini hapa Kenya Tunatofauti ya Jeshi na Askari, Tena kwa Askari kuna viwango hivi, AP, Kenya Polisi, Anti-stock theft unit, KWS na wamwisho ni Reservists. Walioshikwa na Jeshi la Ethiopia walikuwa Reservists na Anti-stock theft unit ambao hawajui mambo ya Kejeshi. Tena Kenya sio nchi ya kukujrupuka, tunayapima mambo kwanza. Tukiona kuna hajatunaamua lakini tukiona ni hasara hatuna hajakupingana. Ni kama Migingo badala ya kugombana na kisha kupigania kitu ambacho faida yake haitoshi hiyo vita mnaongea tu ili msiache mwendo wenyu wa maendeleo kwa vita ambavyo havina maana. Nadhani unaelewa. we can't be derailed from our line of development by any of our neighbours like Ethiopia we think several steps ahead. Haya yaishe.
Hayo mabasi sisi hapa tunayatumia hadi kwa mashule. Sijui nyinyi mnajishaua nini na hayo!!!
 
Mbona hilo basi kama la mzee wa upako?
 
Huna lolote. Akili za utumwa mimi sina.
Tanzania is a socialist country. So hatunaga shobo puppets
Socialist country? tujitathimini tena may be we don't where we are going.
 
Hiyo

Huo ni ukweli tupu na hayo ndiyo maisha ya wengi wenye kutumia Usafiri huo.
 
Socialist country? tujitathimini tena may be we don't where we are going.
Like vile unashindwa hata kuandika,
In fact kama sio socialism kusingekuwa na kitu Tanzania of Today. Socialism united us,
Wale wanaokosoa huenda they don't know this.
Everything have good and bad sides..
Or may be sijui ulimaanisha nini.
 
Jf mazuzu mnaongezeka kila kukicha.
Siyo "Uzuzu": Usipoweka sheria wataingiza matenga. Weka sheria simamia. Kulalamika humu sio suluhishi. FastJet ilipoanza ilikuwa na visa sana. Walipoongeza viwango vya ukokotoaji wa bei kuna aina ya watu wenye tabia zao wenyewe walijiondoa. Hiyo ndiyo ilikuwa maana yangu umenitukana bure tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…