Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiropoke wewe.
Mahitaji ya Tanzania unaweza ukaishi kwa 15000 Tsh kwa siku.
Mchele 2000tsh,sukari nusu 1200tsh,vitafunwa 500tsh mboga ujumlishe na mkaa 4000tsh na viungo 3000tsh.
Ukijumlisha almost 12000 tsh mpk 15000tsh.
Ichukue hiyo ibadilishe ktk hela ya kenya halafu nambie je unaweza kuilisha familia Kenya kwa Tsh 15000/=.
NASUBIRI JIBU..............
HALAFU TIZAMA CHINI WENZENU.
Unapima kutumia dollar??Nonsense.
Stop vaunting by living below the absolute poverty line.
Unapima kutumia dollar??
Km Dinar ingekuwa inatumika km medium of exchange bas ht USA ingekuwa na watu wengi waishio below poverty line.
Utake usitake km hutaki meza kisa Tanzania gharama za maisha ziko chini.
Cha muhimu ni mtu upate mahitaji muhimu(basic needs) na kwa hiyo hela unapata vzuri tu.
Tuje kenya je unapata???
Punguza kubwabwaja.
Hao ni wavivu tu unawajua watz wewe???
Wanapenda vitu vya bei ya chini sana wanapenda dezo sana.
Ilhali kwa siku japokuwa gharama za nafaka zimepanda ila waweza kuilisha familia yako kwa 15000tsh tyu.
Nataka uibadilishe hiyo 15000 ya kitz iwe ya kikenya halafu nambie unaweza kuitumia kuilisha familia ya nuclear Kenya????
Msiongee tu ninyi.
Usiropoke wewe.
Mahitaji ya Tanzania unaweza ukaishi kwa 15000 Tsh kwa siku.
Mchele 2000tsh,sukari nusu 1200tsh,vitafunwa 500tsh mboga ujumlishe na mkaa 4000tsh na viungo 3000tsh.
Ukijumlisha almost 12000 tsh mpk 15000tsh.
Ichukue hiyo ibadilishe ktk hela ya kenya halafu nambie je unaweza kuilisha familia Kenya kwa Tsh 15000/=.
NASUBIRI JIBU..............
HALAFU TIZAMA CHINI WENZENU.
Kuna unga wa aina nyingi sana,wa bei ya juu ni itungi sembe ambayo kilo ni 1200,kuna unga kilo 1100 na ukitaka Dona kilo 1000,mchele upo wa aina nyingi sana ambapo wa bei ya juu ni kg 1 ni 2200,kuna mchele wa kilo 1900,1800,1500 hadi 1400 sukari kilo ni 2400 nusu kilo ni 1200 ambapo robo ni 600,nyama kilo ni 5000 hadi 6000 baadhi ya maeneo,ukienda Vingunguti nyama kilo hadi 2500Mbona hesabu zako za kihuni hvo...
Lete bei ya unga, mchele, sukari, nyama..wacha kupiga hesabu mwitu hapa
Mbunhe wenu anadanganya pia?
Kwa hivo wewe Ni CCMu watu wa mtakatifu Magu??Ukiwa unapenda sana kuwaamini chadema utapotea hata njia ya kuelekea kwako
Mimi ni mtz siko chama chochote,mapungufu ya ccm nayaona na madudu ya chadema pia,sasa mimi nakaa tabata barraccuda few kms from city center kilo ya unga ni tsh 1200 anakuja mlugaluga wa chadema anakwambia unga ni tsh 1500,halafu mi nichekelee tuKwa hivo wewe Ni CCMu watu wa mtakatifu Magu??
Hahaha unachekesha kuwa ccm sio issue. Issue ni kusema ukweliiKwhyo wenzako wanadanganya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani ccm haswa
Hawezi akaelewa maana anatumia makwapa kufikiria,Kuna unga wa aina nyingi sana,wa bei ya juu ni itungi sembe ambayo kilo ni 1200,kuna unga kilo 1100 na ukitaka Dona kilo 1000,mchele upo wa aina nyingi sana ambapo wa bei ya juu ni kg 1 ni 2200,kuna mchele wa kilo 1900,1800,1500 hadi 1400 sukari kilo ni 2400 nusu kilo ni 1200 ambapo robo ni 600,nyama kilo ni 5000 hadi 6000 baadhi ya maeneo,ukienda Vingunguti nyama kilo hadi 2500
Wanaomchukia jiwe si wazungu tu hadi huku bongo kuna hawa wanaitwa ukawa,wao wako tayari hata kuongopa ili mradi jiwe akwame
WakweliAti kuunganishwa na service ya tanesco 312600/= ? BS.
Saruji ya dangote 13000. Nani ahangaike na hizo za 20000.
Hao wanocomment ni waongo, duh. Endelea kuwaamini upate faraja moyoni mwako
Tofauti ya kshs15 Ni kidogo sanaMimi ni mtz siko chama chochote,mapungufu ya ccm nayaona na madudu ya chadema pia,sasa mimi nakaa tabata barraccuda few kms from city center kilo ya unga ni tsh 1200 anakuja mlugaluga wa chadema anakwambia unga ni tsh 1500,halafu mi nichekelee tu