Tanzania - Mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2018/19

Tanzania - Mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2018/19

Wapi Picha za ujenzi kama si mdomo kama kawaida?
Huu mradi Magufuli ameuingilia Kati ili utunufaishe zaid Tz, kama ilivyokua SGR alivyopewa China yeye akatengua Akampa Mturuki.. China na Oman wanataka kujenga hata sasahivi ila wataruhusiwa tu kama tutafikia makubaliano tena yakayotunufaisha.. So we left it all to Magufuli, he knows what he's doing..
 
Wewe unanipatia maneno matupu baala ya actions/picha😀😀😀
 
Lengo la huu uzi ni kuupitia mpango wa maendeleo wa Tanzania kisha kuanza kuangalia ulinganifu wa mpango wa maendeleo wa ndugu zetu wakenya.

Ushindani lazima uwepo na tuweze kuona ni nani wenye vision pana kati ya Tanzania na Kenya. Lengo kuu likiwa ni kuonesha ushindani uliopo kati yetu wenye lengo kuu la kuwaletea maendeleo raia wetu.
Msingi wa thread hii upo katika mapendekezo na mpango wa maendeleo wa tanzania. Ingefaa zaidi ndugu zetu toka Kenya wakaweka na wao ili tuweze kulinganiasha.
Katika uzi huu nitauvunjavunja mpango wetu wa maendeleo na kuruhusu tuweze kujadili kipengere kwa kipengere.

Sitapenda kuwepo na mihemko isiyokuwa na tija. Ningependa tujadili kwa kina ili mwisho wa siku tuonekane ni watu wenye akili timamu na tuwenze kuenzi mtandao huu unaoelezea kuwa sisi humu ndani ni GT.

Ninaambatanisha PDF file lilo na mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa Tanzania.
Hata hivyo unaweza ukatembelea tovuti ya mipango hapa: http://www.mipango.go.tz/
Utajipatia maelezo mengi na kupata taarifa nyingi za kupakua.

KRA closer to meeting target as revenue collected grows

Increase Revenue Collection first we have doubled your collection.. You are too far behind
 
hqdefault (1).jpg
 
Back
Top Bottom