Utasikia wanaenda na msafara wa magari ya gharama kukagua choo cha shule au madarasa matatu ambayo ni sawa na gharama ya service kit ya LC..
Wangepunguza matumizi kwenye hayo matakataka ingesaidia sana wakitaka ya kutanulia wanunue ya kwao hela watoe mfukoni.