Tanzania: Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi afungwa jela kwa kumtusi Magufuli Tanzania

Tanzania: Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi afungwa jela kwa kumtusi Magufuli Tanzania

KichwaNgumu254

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
1,284
Reaction score
1,152
_100181247_57d022d6-ffe9-4a8c-8124-228437798deb.jpg

Mbunge wa Mbeya mjini kwa tiketi ya Chadema Joseph Mbilinyi kwa jina maarufu Sugu na mwenzake Katibu wa Chadema Kanda ya nyanda za juu kusini, Emmanuel Masonga wamehukumiwa kufungwa jela miezi mitano.

Wawili hao walikuwa wameshtakiwa kwa kosa la kutumia lugha ya matusi dhidi ya Rais John Magufuli.

Wanadaiwa kutenda kosa hilo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mwezi Desemba mwaka mwaka jana jijini Mbeya.

Hukumu dhidi yao imetolewa na Mahakama ya hakimu mkazi jijini Mbeya.

Hati ya mashtaka imesema maneno waliyoyatamka yalienda kinyume na Sehemu 89(1) a ya Sheria za Jinai ambayo inaharamisha kutumiwa kwa lugha ya matusi.

Maneno hayo, hati za mashtaka zinasema, yangeweza kusababisha uvunjifu wa amani.

Mbunge afungwa jela miezi mitano kwa kumtusi Magufuli Tanzania

Tanzania opposition MP jailed for five months for insulting president
DAR ES SALAAM (Reuters) - A court in Tanzania sentenced two opposition leaders to five months in prison on Monday for insulting President John Magufuli, a decision likely to fuel criticism that authorities are undermining democracy and stifling free speech.

The court in the southern highlands convicted Joseph Mbilinyi, a lawmaker from the main opposition CHADEMA party, and local leader for the party Emmanuel Masonga for using abusive language against the president at a public rally in December. Court documents seen by Reuters show that Mbilinyi was accused of associating Magufuli with an alleged assassination attempt on vocal opposition MP Tundu Lissu last year. Lissu, a fierce critic of Magufuli’s government, was shot several times by unknown gunmen in the administrative capital Dodoma in September. He sought treatment abroad and has yet to return. Magufuli condemned the attack on the opposition lawmaker and called for a swift investigation. “Mbilinyi ... used insulting language against President John Magufuli ... likely to cause breach of peace,” said part of the charge sheet. According to Tanzania’s penal code, “any person who uses obscene, abusive or insulting language to any other person in such a manner as is likely to cause a breach of the peace” faces a maximum sentence of six months in jail. CHADEMA’s deputy secretary general John Mnyika told reporters on Monday that the opposition party would appeal against both the convictions and sentences.

The United States, European Union and several Western embassies in Tanzania last week voiced concern over politically-related violence and allegations of human rights abuses. “We note with concern recent developments which threaten democratic values and the rights of Tanzanians in a country which is widely respected in the world for its stability, peacefulness and freedoms,” the European Delegation to Tanzania said in a statement on Friday.

But the criticism is unlikely to hurt the government politically, since it remains in an electorally strong position. Three people, including a university student, were killed over the past few weeks in various parts of Tanzania in politically-related incidents, according to opposition leaders. An opposition figure and a journalist have also disappeared. More than 10 people, including university students and a lecturer, have been charged in court over the past two years with insulting the president via social networking platform like WhatsApp.

Insulting the president on social media was made a criminal offence under a cyber crimes law passed in 2015 before Magufuli came into office.
 
Wanaohamia upinzani ni malofa na wapumbavu, mkapa Voice. How comes this guy was not increaminated for offence related to that jailed sugu?. Are these laws special for only opposition rather than all.
Haaahaaaahaaaa, i hate those who brings disturbance to others cz they don't agree their stupid speech.
Even if you may be a good dancer remember you must leave a stage for others too. Your end is coming soon.
 
Hivi ile hashtag ya Wakenya ya [HASHTAG]#whatMagufuliWouldDo[/HASHTAG] iliishia wapi.
Maana kama Magufuli akija atutawale tutafungwa mamilioni, huku hata tunajiapisha urais kabisa.
 
What does TZ opposition complain about? Corruption? Lack of infrastruture development? Ethinicity? Nini haswa huwa wanateta kuhusu? What is their agenda that they think JPM is not doing? Sijui kwanini lakin naona tu hawana lakusema wanasumbua tu bure wakitafuta umaarufu kwa vyombo vya habari, wafungwe wote kama ni fursa ya kutusi serikali wanayoipigania
 
Magufuli ni dictator
 
Wakenya tuna jambo la kujifunza hapa. Kuna diwani, diwani just imagine! Alimtusi rais Kenyatta. Adhabu yake ilikuwa ni kualikwa ikulu akasamehewe na rais mwenyewe. Wakenya, wenzetu wametuacha kwa mbali sana.
Kumsingizia mtu ni muuwaji wakati huna ushahidi, matokeo yake ndio hayo.
 
Wanaohamia upinzani ni malofa na wapumbavu, mkapa Voice. How comes this guy was not increaminated for offence related to that jailed sugu?. Are these laws special for only opposition rather than all.
Haaahaaaahaaaa, i hate those who brings disturbance to others cz they don't agree their stupid speech.
Even if you may be a good dancer remember you must leave a stage for others too. Your end is coming soon.
Umenena kweli double standard ipo mno hapa Tz.

N:B, ndugu nilikutumia pm ndoto naomba msaada wako tafadhari
 
Wakenya tuna jambo la kujifunza hapa. Kuna diwani, diwani just imagine! Alimtusi rais Kenyatta. Adhabu yake ilikuwa ni kualikwa ikulu akasamehewe na rais mwenyewe. Wakenya, wenzetu wametuacha kwa mbali sana.
Unakifahamu alichoongea? Jiridhishe kwanza halafu urudi upya kutoa maoni.
 
Kumbe hujui Magufuli ni judge ni spika wa bunge na ni polisi pia?

Kwa taarifa yako iyo hukumu ni maelekezo kutoka juu.
Hata haya unayoyasema hapa ni maneno tuu yasio na uthibitisho wowote. Sidhani kama uliwahi kukaa pembeni ya Magufuli akatoa amri kama kubadilisha matokeo ya hukumu. Anyway Sugu amehukumiwa kwa mujibu wa sheria za Jamhuri, ana nafasi ya kukata rufaa sheria itachukuwa mkondo wake. Hakuna miujiza wala amri kutokana juu, sheria ndio amri inayotoka juu.
 
Umenena kweli double standard ipo mno hapa Tz.

N:B, ndugu nilikutumia pm ndoto naomba msaada wako tafadhari
Yaani hii App niliyonayo sasa ni shida haioneshi notification mpya wala nini. Sijaiona kabisa. Nilipoteza App ya kwanza ya jf hii yaani siielewi. Nisamehe bure.
 
Sugu na kukubali sababu ni mpiganaji, ila bange ndo inayokuharibu. Ubunge huuwezi na hautakiwi kuendelea kuwa mbunge
 
Back
Top Bottom