Tanzania: Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi afungwa jela kwa kumtusi Magufuli Tanzania

It's Official!, NOTORIZED AND SEALED.

WE ARE A TOTALITARIAN COUNTRY.

UN Effing Believable!
 
Alitamka kwa kinywa chake kuwaongoza majaji nn wafanye kwenye kesi na akawaahdi pesa gawio sasa hujui unaishi dunia gani.
Pesa iliahidiwa kusaidia uendeshaji shughuli za kimahakama sio kwenda mifukoni mwa majaji. Hakuna sehemu Magufuli amewataka majaji waende kinyume na taaluma yao. Hukumu zina tolewa kutokana na vitabu vya sheria sio kwa matakwa ya mtu fulani. Kama unaona hujatendewa haki unakara rufaa.
 
Wakenya tuna jambo la kujifunza hapa. Kuna diwani, diwani just imagine! Alimtusi rais Kenyatta. Adhabu yake ilikuwa ni kualikwa ikulu akasamehewe na rais mwenyewe. Wakenya, wenzetu wametuacha kwa mbali sana.
FB_IMG_1519754899436.jpg

Tz ya leo nomaaa hapafai kabisa !! Huyu ni diwani wa chadema toka morogoro wameshamtanguliza mbele za haki mazeee!!
 
Pesa iliahidiwa kusaidia uendeshaji shughuli za kimahakama sio kwenda mifukoni mwa majaji. Hakuna sehemu Magufuli amewataka majaji waende kinyume na taaluma yao. Hukumu zina tolewa kutokana na vitabu vya sheria sio kwa matakwa ya mtu fulani. Kama unaona hujatendewa haki unakara rufaa.
Vyovyote iwavyo je ni sawa kisheria yeye kutamka hivyo?. Hujui kuwa ni kosa.
 
Kwani mtowaji wa fedha za mahakama ni nani kama sio serikali. Mbona wakisema hadharani "idara ya maji fanyeni kazi pesa za miradi yenu tunazileta", hakuna anayelalamika.
 
For real? No respite, no appeal? You are joking!
Hivi wakenya mbona ninyi ni watu wanafiki sana?, leo mwanafunzi wa chuo kikuu cha Meru amepigwa risasi na polisi kwa makusudi, hamna hata mmoja kati yenu analizungumzia, ina maana haya mauaji kwenu ni jambo la kawaida au maisha ya mkenya thamani yake ipo chini kuliko ya watanzania?
 
View attachment 702188
Tz ya leo nomaaa hapafai kabisa !! Huyu ni diwani wa chadema toka morogoro wameshamtanguliza mbele za haki mazeee!!
Acha ushabiki usiokuwa wa kweli, watu kumi wamekamatwa, na maelezo ya awali ni kwamba hao jamaa walilipiza kisasi kutokana na kumshutumu huyo diwani kumuhusisha na kifo cha ndugu yao mwaka 2016 katika mzozo wa kugombea ardhi, hakuna siasa hapo kabisa. Vipi ninyi kuhusu kifo cha mwanafunzi wa Meru University kupigwa risasi na polisi kwa makusudi, au ninyi kufa ni kawaida?
 
Kwani mtowaji wa fedha za mahakama ni nani kama sio serikali. Mbona wakisema hadharani "idara ya maji fanyeni kazi pesa za miradi yenu tunazileta", hakuna anayelalamika.
Hv unadhani wote tuna uelewa wa kushoto hadi tushindwe kutambua.
Spika wabane huko bungeni wakija huku tutawabana,magu Voice. Sishauriki wala sikuhitaji ushauri kutaka urais.
Kauli za huyu mtu anazijua mwenyewe yaani communication skills ni zero kabisa hajui lipi aongee wapi na nani.
Endelea kusifia ujinga wake.
 
Hivi wakenya mbona ninyi ni watu wanafiki sana?, leo mwanafunzi wa chuo kikuu cha Meru amepigwa risasi na polisi kwa makusudi, hamna hata mmoja kati yenu analizungumzia, ina maana haya mauaji kwenu ni jambo la kawaida au maisha ya mkenya thamani yake ipo chini kuliko ya watanzania?
Unaongea hivi kwasababu hata wewe unaogopwa kutupwa kororoni, bora unyamaze tu. Waachie wenzako wenye m#k*nd* double nafasi watoe maoni yao pia.
 
Naomba tuzungumzie huyu mwanafunzi wa Meru University aliyepigwa risasi leo na polisi, au maisha ya wakenya sio muhimu?, mbona hamuliongelei kabisa?, aisee mimi ninawashangaa sana wakenya, wiki mbili zilizopita Tanzania shughuli zilisimama baada ya yule mwanafunzi kupigwa risasi kwa bahati mbaya, BBC walitangaza karibu wiki nzima, huyu ameuliwa kwa makusudi na hakuna hata mkenya mmoja anayelizungumzia, hapo lazima mjue tofauti ya Kenya na Tanzania.
 
Hv unadhani wote tuna uelewa wa kushoto hadi tushindwe kutambua.
Spika wabane huko bungeni wakija huku tutawabana,magu Voice. Sishauriki wala sikuhitaji ushauri kutaka urais.
Kauli za huyu mtu anazijua mwenyewe yaani communication skills ni zero kabisa hajui lipi aongee wapi na nani.
Endelea kusifia ujinga wake.
Kwahiyo wanotowa siri kubwa za serikali huko bungeni kwa kutegemea kinga ya kibunge unaona ni wazalendo hata kama wanahatariaha maisha ya raia wa hii nchi? Anyway subiri 25 Oct 2020 utafanya maamuzi kwa utashi wako mwenyewe.
 
Ungekuwa unajua maana ya siri usingeeleza upupu wako huu. Inakuwaje siri wakati wote wanajua. Msaini mikataba kijinga then muivunje kipumbavu mushitakiwe kesi iwashinde ndo mje hapa kudai siri sijui nn. Kwanza tupe mrejesho wa bombadia ya kanada
I have never seen a group of people with poor planning compared to these of ccm including their pilato.
 
Ndugu nakukumbusha ile ndoto nimekutumia Pm ,Tafadhari sana ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom