Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haifunguki mpaka sasa. Ntaendelea kujaribu.Umenena kweli double standard ipo mno hapa Tz.
N:B, ndugu nilikutumia pm ndoto naomba msaada wako tafadhari
Pesa iliahidiwa kusaidia uendeshaji shughuli za kimahakama sio kwenda mifukoni mwa majaji. Hakuna sehemu Magufuli amewataka majaji waende kinyume na taaluma yao. Hukumu zina tolewa kutokana na vitabu vya sheria sio kwa matakwa ya mtu fulani. Kama unaona hujatendewa haki unakara rufaa.Alitamka kwa kinywa chake kuwaongoza majaji nn wafanye kwenye kesi na akawaahdi pesa gawio sasa hujui unaishi dunia gani.
For real? No respite, no appeal? You are joking!It's Official!, NOTORIZED AND SEALED.
WE ARE A TOTALITARIAN COUNTRY.
UN Effing Believable!
Wakenya tuna jambo la kujifunza hapa. Kuna diwani, diwani just imagine! Alimtusi rais Kenyatta. Adhabu yake ilikuwa ni kualikwa ikulu akasamehewe na rais mwenyewe. Wakenya, wenzetu wametuacha kwa mbali sana.
For real? No respite, no appeal? You are joking!It's Official!, NOTORIZED AND SEALED.
WE ARE A TOTALITARIAN COUNTRY.
UN Effing Believable!
Vyovyote iwavyo je ni sawa kisheria yeye kutamka hivyo?. Hujui kuwa ni kosa.Pesa iliahidiwa kusaidia uendeshaji shughuli za kimahakama sio kwenda mifukoni mwa majaji. Hakuna sehemu Magufuli amewataka majaji waende kinyume na taaluma yao. Hukumu zina tolewa kutokana na vitabu vya sheria sio kwa matakwa ya mtu fulani. Kama unaona hujatendewa haki unakara rufaa.
Kwani mtowaji wa fedha za mahakama ni nani kama sio serikali. Mbona wakisema hadharani "idara ya maji fanyeni kazi pesa za miradi yenu tunazileta", hakuna anayelalamika.Vyovyote iwavyo je ni sawa kisheria yeye kutamka hivyo?. Hujui kuwa ni kosa.
Ni hatar jombaa, waanze kujitathmini upya.View attachment 702188
Tz ya leo nomaaa hapafai kabisa !! Huyu ni diwani wa chadema toka morogoro wameshamtanguliza mbele za haki mazeee!!
Hivi wakenya mbona ninyi ni watu wanafiki sana?, leo mwanafunzi wa chuo kikuu cha Meru amepigwa risasi na polisi kwa makusudi, hamna hata mmoja kati yenu analizungumzia, ina maana haya mauaji kwenu ni jambo la kawaida au maisha ya mkenya thamani yake ipo chini kuliko ya watanzania?For real? No respite, no appeal? You are joking!
Acha ushabiki usiokuwa wa kweli, watu kumi wamekamatwa, na maelezo ya awali ni kwamba hao jamaa walilipiza kisasi kutokana na kumshutumu huyo diwani kumuhusisha na kifo cha ndugu yao mwaka 2016 katika mzozo wa kugombea ardhi, hakuna siasa hapo kabisa. Vipi ninyi kuhusu kifo cha mwanafunzi wa Meru University kupigwa risasi na polisi kwa makusudi, au ninyi kufa ni kawaida?View attachment 702188
Tz ya leo nomaaa hapafai kabisa !! Huyu ni diwani wa chadema toka morogoro wameshamtanguliza mbele za haki mazeee!!
Hv unadhani wote tuna uelewa wa kushoto hadi tushindwe kutambua.Kwani mtowaji wa fedha za mahakama ni nani kama sio serikali. Mbona wakisema hadharani "idara ya maji fanyeni kazi pesa za miradi yenu tunazileta", hakuna anayelalamika.
Unaongea hivi kwasababu hata wewe unaogopwa kutupwa kororoni, bora unyamaze tu. Waachie wenzako wenye m#k*nd* double nafasi watoe maoni yao pia.Hivi wakenya mbona ninyi ni watu wanafiki sana?, leo mwanafunzi wa chuo kikuu cha Meru amepigwa risasi na polisi kwa makusudi, hamna hata mmoja kati yenu analizungumzia, ina maana haya mauaji kwenu ni jambo la kawaida au maisha ya mkenya thamani yake ipo chini kuliko ya watanzania?
Naomba tuzungumzie huyu mwanafunzi wa Meru University aliyepigwa risasi leo na polisi, au maisha ya wakenya sio muhimu?, mbona hamuliongelei kabisa?, aisee mimi ninawashangaa sana wakenya, wiki mbili zilizopita Tanzania shughuli zilisimama baada ya yule mwanafunzi kupigwa risasi kwa bahati mbaya, BBC walitangaza karibu wiki nzima, huyu ameuliwa kwa makusudi na hakuna hata mkenya mmoja anayelizungumzia, hapo lazima mjue tofauti ya Kenya na Tanzania.Unaongea hivi kwasababu hata wewe unaogopwa kutupwa kororoni, bora unyamaze tu. Waachie wenzako wenye m#k*nd* double nafasi watoe maoni yao pia.
Kwahiyo wanotowa siri kubwa za serikali huko bungeni kwa kutegemea kinga ya kibunge unaona ni wazalendo hata kama wanahatariaha maisha ya raia wa hii nchi? Anyway subiri 25 Oct 2020 utafanya maamuzi kwa utashi wako mwenyewe.Hv unadhani wote tuna uelewa wa kushoto hadi tushindwe kutambua.
Spika wabane huko bungeni wakija huku tutawabana,magu Voice. Sishauriki wala sikuhitaji ushauri kutaka urais.
Kauli za huyu mtu anazijua mwenyewe yaani communication skills ni zero kabisa hajui lipi aongee wapi na nani.
Endelea kusifia ujinga wake.
Ungekuwa unajua maana ya siri usingeeleza upupu wako huu. Inakuwaje siri wakati wote wanajua. Msaini mikataba kijinga then muivunje kipumbavu mushitakiwe kesi iwashinde ndo mje hapa kudai siri sijui nn. Kwanza tupe mrejesho wa bombadia ya kanadaKwahiyo wanotowa siri kubwa za serikali huko bungeni kwa kutegemea kinga ya kibunge unaona ni wazalendo hata kama wanahatariaha maisha ya raia wa hii nchi? Anyway subiri 25 Oct 2020 utafanya maamuzi kwa utashi wako mwenyewe.
Ndugu nakukumbusha ile ndoto nimekutumia Pm ,Tafadhari sana ndugu yangu.Ungekuwa unajua maana ya siri usingeeleza upupu wako huu. Inakuwaje siri wakati wote wanajua. Msaini mikataba kijinga then muivunje kipumbavu mushitakiwe kesi iwashinde ndo mje hapa kudai siri sijui nn. Kwanza tupe mrejesho wa bombadia ya kanada
I have never seen a group of people with poor planning compared to these of ccm including their pilato.
Pm yangu haifunguki afadhali hata sasa kidogo napata kujua mtu akiquote kiujumla App haiko sawa niliupgradeNdugu nakukumbusha ile ndoto nimekutumia Pm ,Tafadhari sana ndugu yangu.
Nakutumia hapa hapa hiyo ndoto please help.Pm yangu haifunguki afadhali hata sasa kidogo napata kujua mtu akiquote kiujumla App haiko sawa niliupgrade