Tanzania: Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi afungwa jela kwa kumtusi Magufuli Tanzania

Tanzania: Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi afungwa jela kwa kumtusi Magufuli Tanzania

Acha ushabiki usiokuwa wa kweli, watu kumi wamekamatwa, na maelezo ya awali ni kwamba hao jamaa walilipiza kisasi kutokana na kumshutumu huyo diwani kumuhusisha na kifo cha ndugu yao mwaka 2016 katika mzozo wa kugombea ardhi, hakuna siasa hapo kabisa. Vipi ninyi kuhusu kifo cha mwanafunzi wa Meru University kupigwa risasi na polisi kwa makusudi, au ninyi kufa ni kawaida?
Lisa cha Ulimbokawalikamata kichaa ! Masikini hao watu wanatolewa kafara pole kwa familia zao
 
Lisa cha Ulimbokawalikamata kichaa ! Masikini hao watu wanatolewa kafara pole kwa familia zao
Zungumza kitu ueleweke ili tuchangie, sasa unazungumza kama upo usingizini, vipi utajibiwa?
 
The outcomes of poor contract has led a country into frustration that cause lissu assassination attempt, killing of opposition leaders, loose of parliamentary members to ccm site that cause them poor election to recover their problems.
Poor management of ccm leaders is the source of all stupid calamities arising now.
Wapi tungesikia kupotea kwa watu, kufungwa kwa wapinzani, risasi, kuuawa kwa watu, maandamano kama ingetokea ccm mnafuata haki na wajibu hata kwa katiba hii hii mbovu.
Tusubiri kila mtu kujibu kwa nafasi yake kwa Mungu.Wanaolia sasa kesho watacheka na wachekao leo kesho watalia hiyo ni principle ya Mungu.
Your looking at this on one angle, what about Chadema internal power struggle?
 
Mahakama na polisi vyote vinapokea order kutoka kwa Magufuli kuna mkuu mmoja wa mkoa ameomba msamaha kwa Magufuli kwa kimbo lake diwani wa CCM kushindwa. ITV imeomba msamaha kuonyesha live wazi wa kura wewe huo ni tu?
Unachangaya vyeo vya kisiasa na vya kiserikali. Mkuu wa mkoa ni mwanasiasa. Police na mahakama sio wanasiasa japo kuwa kazi zao zinawakutanisha na wanasiasa. Polisi juzi wametoa kauli kukataa uzushi huu.
 
Cc. TANZANIANS! 😀

Yes jirani, we should be clinging resolutely to Hope right now, and hoping for the 'Dream' to come true in a peaceful manner as our first step, since we haven't really gone through what you guys went through before.
None of us entertain this thought and we shouldn't, but at this point we don't have better options other than 'Actio de masse'

It's unbelievable that I can't write down what am really thinking. I can't believe we have to beg for some sort of freedom in our own country, while someone fears they might end up behind bars.
I can't believe we're back to square one, trying to democratize our country.

Sh!t is real we're doomed!
You're doomed, not we're. Speak for yourself.
 
Akili zako za bhangi hizo, tunazungumzia kifo cha mwanafunzi huko Kenya, wewe unaleta utani.
Nafikiri wewe ndiyo mwenye akili za bangi maana unajua vizuri inavyo kuathiri. Aisifiaye mvua imemnyea
 
Hivi wakenya mbona ninyi ni watu wanafiki sana?, leo mwanafunzi wa chuo kikuu cha Meru amepigwa risasi na polisi kwa makusudi, hamna hata mmoja kati yenu analizungumzia, ina maana haya mauaji kwenu ni jambo la kawaida au maisha ya mkenya thamani yake ipo chini kuliko ya watanzania?
Tuongelee kwa hii forum ama? Angalia social media za kenya juu nikaa mwashinda huko.
 
Tuongelee kwa hii forum ama? Angalia social media za kenya juu nikaa mwashinda huko.
Mbona mkifungua mall hata kama ni ndogo kiasi gani mnaipost hapa, kwanini issue kubwa kama hii hamuipost?
 
Again did you see the demonstrations by the students in Meru. The institution is currently closed as a result.
Hiyo ni baada ya kuuliwa mwenzao, unategemea nini?, sisi tunataka kuona wananchi wa Kenya kwa ujumla na kusikia viongozi wa serikali akiwemo rais kutoa statement na hao polisi kukamatwa, sio blah blah.
 
Utaongezea nini kwani a hio mjadala ?
Serikali huwa inawajibishwa na kushitushwa na reactions za wananchi, mkiendelea kukaa kimya, wataendelea kuwapiga risasi hadharani, uliona jinsi issue ya kupigwa risasi Lissu ilivyotikisa serikali ya Magufuli?, sio rahisi kurudiwa kwa tukio kama lile hapa Tanzania.
 
Hiyo ni baada ya kuuliwa mwenzao, unategemea nini?, sisi tunataka kuona wananchi wa Kenya kwa ujumla na kusikia viongozi wa serikali akiwemo rais kutoa statement na hao polisi kukamatwa, sio blah blah.
Wait, watanzania wamefanya nini venye we zao wauliwa? Unahataji wakenya wote waende Meru kudemonstrate? Just stop with Kenyan affairs we can handle this....
 
Wait, watanzania wamefanya nini venye we zao wauliwa? Unahataji wakenya wote waende Meru kudemonstrate? Just stop with Kenyan affairs we can handle this....
Kwanza sio lazima watanzania wafanye ndiyo na ninyi umfanye, lakini kwa taarifa yako, kuanzia wale polisi sita waliohusika na kifo cha yule mwanafunzi, na wote waliohusika na mauaje wa viongozi wa Chadema wote wamekamatwa na watapelekwa mahakamani muda sio mrefu, ninyi kuanzia Msando, Jacob Juma, na yule Pastor kule Kisumu nani amekamatwa?
 
Kwanza sio lazima watanzania wafanye ndiyo na ninyi umfanye, lakini kwa taarifa yako, kuanzia wale polisi sita waliohusika na kifo cha yule mwanafunzi, na wote waliohusika na mauaje wa viongozi wa Chadema wote wamekamatwa na watapelekwa mahakamani muda sio mrefu, ninyi kuanzia Msando, Jacob Juma, na yule Pastor kule Kisumu nani amekamatwa?
I honestly don't care what you do with your criminals or people. I would not also expect a tanzanian to ask for my rights or tell me how to behave in Kenya when they don't live here.
 
Your government should count itself lucky, in regards to response by the masses. In Kenya, a road that has been neglected by the relevant authority is enough kinder for fire in the form of protest. Enough for people to confront the police and a few people losing their lives including the security agents themselves. Its a plus for Tz though, maintaining the peace being an important ingredient for public discourse in form of dialogue. But is the political will present for such a big step at the moment? Or has it been postponed for later, when everything has gone south, to give space for chest beating?


At this point, you can tell it's there!, there's been too much BS going on already, it feels like we're at the breaking point and the situation might get sour one of these days.

I seriously wish the so called majestic Gov. understand this before all this get out of control. We've been such good kids for too long, and through ups and downs of our Democracy, staying faithful to out beloved Tz despite the disappointments after Oct.25 2015..

The 'Tanzanian dream' in the making sounds kind of exciting with the whole thing about being active and vocal for our beloved country but at the same time, it's nerve-racking.
As you can see, wenye Serikali are already coming out swinging accusing their critics of Mavumbuzi at the very beginning. With no experience on momentous political event as such, you can imagine how the mood is going to be as days get closer...and closer.

So jirani, any word of encouragement?! 🙂
 
Na mkuu wa wilaya zote hahaha.

Na ndie waziri wa wizara zote.


Hehehe!, 😀

Mkurugenzi wa Mashirika yote ya Umma. Mtukufu.

"His Excellency, President until 2025, Field Marshal PHD Doctor, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Indian Ocean, and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Tanzania in Particular", in addition to his officially Mkulu wa Magogoni himself..
 
Back
Top Bottom