Na waziri yupo,ana naibu wake,wana katibu mkuu,wana watendaji,wana magari,kuna watu milioni 60,kuna bajeti,kuna watendaji wa serikali wa mikoa,wilaya hadi mitaa wanaoshughulikia michezo.
Hii nchi hii--Niingekuwa waziri ningefanya hivi.
Kila mkoa uwe na bajeti ya michezo-through CSR kila wilaya iwe na sports centre na viwanja kila mtaa(court inayoweza kufanya michezo ya tennis,rugby,kurusha mishale,kuendesha baiskeli etc etc.
Kuwe na mashindano aiming kupata vijana watakaoshiriki...zitangazwe nafasi.
Kuna vimichezo vya ajabu ukichukua watu wa kule simiyu,nantumbo na wamasai tunanyakua za kutosha.
ni UZEMBE tu--hii nchi haina mipango inayotekelezeka--kuongea(labda na ku-type) ni kwingi sana.