Hivi ni vyombo vinavyofanya kazi sawa (Usalama wa Taifa) lakini vinatofautiana in terms of scope (coverage).
Scope/coverage ya TISS ni ndani ya nchi na coverage ya MI ni nje ya nchi (Eg. Tuna uadui na Rwanda...je Kenya na Uganda wanachezea team ipi? Kuna msaada wowote wa kijeshi unaotoka Kenya kwenda Rwanda ? Adui zetu ni nani na wamejipanga vipi?
Pia military intelligence wanakuwa na full contigency plan ya vita na nchi zote zinazotuzunguka- Inaitwa Commander's Estimates.
Kwa mfano...Ikitokea Kenya wamepata rais kichaa kesho akaamka na kuanza kuishambulia TZ, tayari sisi tuna mchoro mzima wa vita (huo mchoro ndo huitwa Commader's estimate- tutahitaji jeshi kubwa kiasigani, vifaru vingapi, mafuta kiasigani yatatumika kuweka kwenye magari, vifaru, ndege na itatuchukua mudagani kuwamudu )...hii ni topic ndefu sana..unaweza kuijadili siku nzima..
Mmmmh! !!! Nashukuru kulijua hili. Jinsi ulivyoandika tu unaonekana ni mdau wa hiyo ofisi, hizo ni habari za ndani sana kwa mtu baki kujua kama hao waheshimiwa walishaongoza hizo idara.
Habari tamu sana hii tunaomba wataalam watujuze zaidi
Cc: RUCCI
Kwa ufahamu wangu tu, ukizungumzia MI au CMI au kwa jina lingie lolote lile, unagusa ujasusi au udukuzi katika mrengo wa kijeshi zaidi. Ufanisi wake ni lazima uwe wa juu kwa sababu una-specialization japokuwa yapo pia mambo mengi ndani yake yanayohusiana nayo. TISS kwa upande wake is all about the overrall security ya nchi ikijielekeza katika maeneo yote nyeti kwa usalama wa nchi. TISS kwa maana yake halisi inatakiwa iwe na wataalamu waliobobea katika fani anuai kama vile fedha, jeshi, elimu, nishati, siasa nk.
Kwa maana hiyo kufanya ulinganifu kati ya taasisi hizo mbili bado sioni kama tunaweza kupata majibu yenye uhalisia. Zote zinafanya ujasusi lakini malengo yake ni tofauti, settings za kufanyia kazi zao zinatofautiana.
Upo sahihi kwa 100%. Ambaye hataelewa ulichoandika basi ni Kanjanja wa div 5. Watu hawajui kuwa MI ipo ndani ya Jeshi. Lakini TISS ni idara inayojitegemea na majukumu yake yapo kila sehemu ikiwa ni pamoja na mambo ya Jeshi . TISS inagusa SIASA za nchi, uchumi, Social Affairs , Mahusiano nk ambapo jukumu lake nikufanya tathmini ya kiusalama na mwisho kushauri njia sahihi zakuchukuliwa na mamlaka stahiki.Wadau wote mmeenda chaka
TISS ni taasisi kubwa sana inayoingilia mambo yote ya nchi ilhali CDI (Defense Intelligency) ni kwa ajili ya masuala ya kijeshi tu. inapokuja fani ya ujasusi TISS ni shughuli ingine.
Bazazi
Sniffing rat!!!!Watu mnanondo za kutisha sana humu aisee...hebu endeleeni kumwagika wakuu mtupe maujanja!!!
Inaitwa MI.... Hicho ulichotaja ni cheo ...CMI - chief of millitary intelligence .....Msaidizi wake anaitwa DMI - director of Millitary Intelligence.
kazi ngumu Sana Hiyo ..hawa Ndio hufanya infiltration kwenye Nchi yeyote yenye mwelekeo wa kuwa Adui ...ukisikia watu wanatangaza vita ujuwe hawa miaka hadi mitatu kabla walishaingia kwa Adui .. ( kujipenyeza)
Kwa ufahamu wangu tu, ukizungumzia MI au CMI au kwa jina lingie lolote lile, unagusa ujasusi au udukuzi katika mrengo wa kijeshi zaidi. Ufanisi wake ni lazima uwe wa juu kwa sababu una-specialization japokuwa yapo pia mambo mengi ndani yake yanayohusiana nayo. TISS kwa upande wake is all about the overrall security ya nchi ikijielekeza katika maeneo yote nyeti kwa usalama wa nchi. TISS kwa maana yake halisi inatakiwa iwe na wataalamu waliobobea katika fani anuai kama vile fedha, jeshi, elimu, nishati, siasa nk.
Kwa maana hiyo kufanya ulinganifu kati ya taasisi hizo mbili bado sioni kama tunaweza kupata majibu yenye uhalisia. Zote zinafanya ujasusi lakini malengo yake ni tofauti, settings za kufanyia kazi zao zinatofautiana.
Hivi ni vyombo vinavyofanya kazi sawa (Usalama wa Taifa) lakini vinatofautiana in terms of scope (coverage).
Scope/coverage ya TISS ni ndani ya nchi na coverage ya MI ni nje ya nchi (Eg. Tuna uadui na Rwanda...je Kenya na Uganda wanachezea team ipi? Kuna msaada wowote wa kijeshi unaotoka Kenya kwenda Rwanda ? Adui zetu ni nani na wamejipanga vipi?
Pia military intelligence wanakuwa na full contigency plan ya vita na nchi zote zinazotuzunguka- Inaitwa Commander's Estimates.
Kwa mfano...Ikitokea Kenya wamepata rais kichaa kesho akaamka na kuanza kuishambulia TZ, tayari sisi tuna mchoro mzima wa vita (huo mchoro ndo huitwa Commader's estimate- tutahitaji jeshi kubwa kiasigani, vifaru vingapi, mafuta kiasigani yatatumika kuweka kwenye magari, vifaru, ndege na itatuchukua mudagani kuwamudu )...hii ni topic ndefu sana..unaweza kuijadili siku nzima..
Duuuuh kuna wanajamii ni intelligent sana humu ndani mmhhh. Kuna vichwa vilipaswa kuteuliwa kwenye wizara za ulinzi sema tu this system is too corrupt to spot your talents wakuu..give us some more wakuu.
Kama tulivyoona kikatiba jukumu la ulinzi na usalama wa nchi liko chini ya Amiri Jeshi Mkuu ambaye ndiye Rais wa Jamhuri ya Mwuungano wa Tanzania. Kwa nyakati tofauti baadhi ya majukumu hukasimiwa ( delegated ) kwa ofisi aidha ndani ya Ofisi ya Rais au Ofisi ya Waziri Mkuu kwa jinsi hali ya hewa na majuku atakayoainisha Amiri Jeshi Mkuu.
Ili kufanya kazi kwa ufanisi vyombo hivi na vingine vyote vinavyoshughulikia ulinzi na usalama wa nchi yetu na mipaka yake vina utaratibu wa kuingia mikataba ya ushirikiano na vyombo husika kama hivyo kwenye nchi mbalimbali duniani aidha kwa dhima au kwa haja ili kutengeneza mtandao unaosaidia kuleta ufanisi katika majukumu yake nchini au kusaidia usalama nchi zingine. Kwa kifupi hizi ni idara mbili kati ya nyingi zilizopewa dhamana ya ulinzi na usalama wa nchi yetu.