peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Prof. Idris Suleiman Kikula, mwenyekiti wa Tume ya Madini amekiri kuwa Mtandao tajwa hapo juu umezima kama sio kushindwa kufanya kazi kwa kipindi cha miezi minne sasa.
Kukosekana kwa huduma hiyo muhimu kumeikosesha serikali hasara ya bilioni 7 kwa mwezi jambo ambalo sio la kuvumiliwa.
Waziri wa madini na katibu mkuu wa wizara hiyo walivyoulizwa kwa njia ya simu hawakuwa tayari kuzungumzia jambo hilo.
Tume imekuwa ikihujumu juhudi za Rais samia kuhusu ukusanyaji wa mapato ili kuwaletea wananchi maendeleo.
Chanzo: Mara News