GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa huu Unafiki Wenu, Wivu na Chuki Kubwa dhidi ya Rwanda Taifa lenu japo kuwa ni Kongwe ila hadi leo Umeme ni wa Shida, Maji ya taabu japo mna Mito mingi na Maziwa mengi, Elimu yenu ikiwa ICU kwa sasa na Mwezi huu Utafiti umeonyesha pia kuwa Watanzania Milioni Saba (7) wana Ugonjwa wa Akili (Mental)
Halafu na Wewe Balozi wa Tanzania nchini Congo DR ni kwanini kila ukipiga Simu kwa Boss wako ( aliyekuteua ) ili kumpa Ripoti ya Kinachoendelea huko huwa humwambii Ukweli kuwa Wezi (Majambazi) Wakuu wa Rasilimali (Madini ya Congo DR) ni Ufaransa, Ubelgiji, Marekani, Uingereza, Italy, Urusi na Afrika Kusini?
Halafu mkiwa mnakuwa na Viherehere vya kila mara tu Kuituhumu Rwanda kuwa inaiba Madini ya Congo DR muwe pia mnajisema nanyi (Tanzania) kuwa pia kwa kupitia Wapiganaji wenu (walioko MONUSCO) kwa Kushirikiana na Watendaji, Wafanyabiashara Wakubwa na Maafisa Waandamizi kwa Maelekezo ya Mtu Mmoja muhimu na Mshauri wake Mkuu 'Mswahili Mstaafu' nanyi pia mnapora vile vile na ndiyo maana hata Wananchi wa Congo DR (hasa Kivu na Goma) walishasikika BBC na hata kupitia Radio One kuwa hawawataki na muondoke Kwao kwani licha tu ya Kuwatesa na Kuwaibia Mali zao ila pia "mnawabakia' Wake zao.
Wanafiki na wenye Chuki wakubwa.