Tanzania moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa gesi barani Afrika

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Tanzania imeendelea kujipambanua kama moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa gesi barani Afrika, ikiwa inamiliki takribani asilimia 10 ya gesi yote iliyogunduliwa katika bara hilo.

Takwimu hizo zimetolewa leo Jumanne, Aprili 21, 2026 na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dk James Mataragio, wakati alipotembelea mabanda ya maonyesho ya sekta ya nishati katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma.

Dk Mataragio amesema kwa ujumla Bara la Afrika lina hifadhi ya gesi inayokadiriwa kufikia futi za ujazo trilioni (TCF) 550, huku Tanzania pekee ikiwa na TCF 57.

Amesema kiwango hicho kinaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi muhimu barani Afrika katika uzalishaji wa gesi, hasa kwa matumizi ya nishati na shughuli za viwandani. “Kwa sasa tunajikita katika kuimarisha ushirikiano na nchi jirani ili kufikia malengo ya uzalishaji wa umeme wa megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030,” amesema Dk Mataragio.
 
Kwenye vitu natural tu, Sir God hakuwa na baya nasi ila nafikiria tu.

Pamoja na lakes, mito mikubwa, bahari na gas

Maji na umeme vikikaa Mwezi bila kukatika tunashtuka.. Kwa mfano na sisi tungekuwa nchi ya jangwa, hivi si hata maji ya bomba tu tungekosa kwa akili zetu hizi.
 
Tanzania imeendelea kujipambanua kama moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa gesi barani Afrika, ikiwa inamiliki takribani asilimia 10 ya gesi yote iliyogunduliwa katika bara hilo.

Takwimu hizo zimetolewa leo Jumanne, Aprili 21, 2026 na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dk James Mataragio, wakati alipotembelea mabanda ya maonyesho ya sekta ya nishati katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma.

Dk Mataragio amesema kwa ujumla Bara la Afrika lina hifadhi ya gesi inayokadiriwa kufikia futi za ujazo trilioni (TCF) 550, huku Tanzania pekee ikiwa na TCF 57.

Amesema kiwango hicho kinaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi muhimu barani Afrika katika uzalishaji wa gesi, hasa kwa matumizi ya nishati na shughuli za viwandani. “Kwa sasa tunajikita katika kuimarisha ushirikiano na nchi jirani ili kufikia malengo ya uzalishaji wa umeme wa megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030,” amesema Dk Mataragio.
yupo sahihi 100%
 
Hiyo gesi mbona inauzwa ghali.
$20 mtungi wa gesi!!
TSh 55,000/= kwa mtungi.
Nchi ya kifala hii.
 
Tanzania imeendelea kujipambanua kama moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa gesi barani Afrika, ikiwa inamiliki takribani asilimia 10 ya gesi yote iliyogunduliwa katika bara hilo.

Takwimu hizo zimetolewa leo Jumanne, Aprili 21, 2026 na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dk James Mataragio, wakati alipotembelea mabanda ya maonyesho ya sekta ya nishati katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma.

Dk Mataragio amesema kwa ujumla Bara la Afrika lina hifadhi ya gesi inayokadiriwa kufikia futi za ujazo trilioni (TCF) 550, huku Tanzania pekee ikiwa na TCF 57.

Amesema kiwango hicho kinaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi muhimu barani Afrika katika uzalishaji wa gesi, hasa kwa matumizi ya nishati na shughuli za viwandani. “Kwa sasa tunajikita katika kuimarisha ushirikiano na nchi jirani ili kufikia malengo ya uzalishaji wa umeme wa megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030,” amesema Dk Mataragio.
Haina impact yoyote kwa wananchi zaidi ya sifa ya kitakwimu. Ni sawa na mwanaume kuwa na dhakari kubwa lakini khanithi.
 
Pamoja na kubarikiwa gesi nyingi hivyo, lakini gharama ya kujaza gesi imekuwa sio rafiki

Mtungi wa 6kg=23,000
Mtungi wa 15kg=55,000
Na mtungi wa 38kg=110,000 kulingana na eneo

Nchi zisizo na Gesi asilia, wanauziwa nafuu kuliko sisi wa Bongoland 🙌

Karibu Tanzania ujionee maajabu
 
Hiyo gas si ipo songosongo na mtwara? Imeshauzwa yote na hela imepeperuka ndio mana magu alikomaa na umeme wa maji. Hicho ndicho wanachokisifia kina Lukas.
 
Ataje na asilimia ya wanufaika. Mfano atuambie wananchi wananufaika vipi na hiyo gesi?
 
Tanzania imeendelea kujipambanua kama moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa gesi barani Afrika, ikiwa inamiliki takribani asilimia 10 ya gesi yote iliyogunduliwa katika bara hilo.

Takwimu hizo zimetolewa leo Jumanne, Aprili 21, 2026 na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dk James Mataragio, wakati alipotembelea mabanda ya maonyesho ya sekta ya nishati katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma.

Dk Mataragio amesema kwa ujumla Bara la Afrika lina hifadhi ya gesi inayokadiriwa kufikia futi za ujazo trilioni (TCF) 550, huku Tanzania pekee ikiwa na TCF 57.

Amesema kiwango hicho kinaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi muhimu barani Afrika katika uzalishaji wa gesi, hasa kwa matumizi ya nishati na shughuli za viwandani. “Kwa sasa tunajikita katika kuimarisha ushirikiano na nchi jirani ili kufikia malengo ya uzalishaji wa umeme wa megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030,” amesema Dk Mataragio.
Na ndo moja ya inchi ranking high kwenye umaskini kwa sabahu raslimali hizo zimeshikiliwa na mafisadi wachache
 
Pamoja na kubarikiwa gesi nyingi hivyo, lakini gharama ya kujaza gesi imekuwa sio rafiki

Mtungi wa 6kg=23,000
Mtungi wa 15kg=55,000
Na mtungi wa 38kg=110,000 kulingana na eneo

Nchi zisizo na Gesi asilia, wanauziwa nafuu kuliko sisi wa Bongoland 🙌

Karibu Tanzania ujionee maajabu
NIjuavyo hii gesi ya kwenye mitungi (LPG) inatoka huko ughaibuni, hususan uarabuni. Siyo inayochimbwa hapa.

Ila naungana na wazo kwamba gesi yetu ya Mtwara bado haijatusaidia - kwa vile yenyewe inahitaji mfumo wa mabomba kusambazwa, na mfumo huo hakuna, isipokuwa kwa viwanda na watu wachache sana Dar es Salaam.
 
Haina impact yoyote kwa wananchi zaidi ya sifa ya kitakwimu. Ni sawa na mwanaume kuwa na dhakari kubwa lakini khanithi. [/QUOTE said:
ata ile kusema gas inazalishwa kwetu (Tz) unashindwa yan !
 
NIjuavyo hii gesi ya kwenye mitungi (LPG) inatoka huko ughaibuni, hususan uarabuni. Siyo inayochimbwa hapa.

Ila naungana na wazo kwamba gesi yetu ya Mtwara bado haijatusaidia - kwa vile yenyewe inahitaji mfumo wa mabomba kusambazwa, na mfumo huo hakuna, isipokuwa kwa viwanda na watu wachache sana Dar es Salaam.
Hapana Mkuu, hii ni gesi yetu wenyewe kutoka hapa hapa Bongoland

Pamoja na uwepo wa gesi nyingi hapa Nchini lakini haijaweza kusaidia kushuka bei, ingekuwa ni nchi nyingine tungekuwa tunajaziwa gesi ya 30kg hata kwa shilingi 15,000 badala ya shilingi 50,000+ ya sasa

Hii ingesaidia kulinda mazingira kwani wananchi wengi wangeachana na matumizi ya kuni na mkaa hasa huko vijijini
 
Back
Top Bottom